Makelele ya bandari yameishia wapi?

Makelele ya bandari yameishia wapi?

Tumehamishwa Ukraine tumepekwa gaza, Je mnazisikia za Ukraine siku hizi ? Akili kichwani mwako. Na hapa tulikuwa na makelele ya Chadema na waarabu ,ikawa mpaka pa kutia mguu hakuna kila kitu ni bandari.

Je Chadema walikuwa wanatafuta kiki? Na kutaka kuwaburuza waTanzania kuwa nchi inauzwa kwa waarabu ? Hiki Chama ni hatari sana waliwakusanya mapadre na mashee wasiojielewa na kupanga uasi wa kuhakikisha Raisi samia au serikali ya CCM inapinduliwa au kuangushwa kabla ya uchaguzi mkuu ujao.

ilivyo ilihitajika hiki Chama kufutwa mara moja,leo hii wachochezi wote wamechawanyika baada ya mbinu zao za kuiangusha serikali kupigwa na chini,mkichaa kakimbilia Ulaya,Balaa kafungua chama chake na kengeza yupo yupo tu.
CCM oyee.
Huyu mganga aliyetumika kuturoga waTZ this round ananguvu sana aisee .tumesahau kabisaaa
 
Kuna hoja au Kuna upumbavu?! Lini watu walisema kuwa Wanaopewa Bandari ni Waislam? Acha ujing

Lini uliona Muislam akpinga banadari kupewa DP World?

Miislam isipewe kabisa banadari, wale hata viandikwe vifungu vya dhabu kwenye mkataba. Ni wezi tu.

Hii banadari ni lazima tuwape wasomi wa TEC ndiyo waiendeshe.

Hiui Miislam inasoma madrassa elimu ya bandari itowe wapi?
 
Vp wale babu zako waliopelekwa America?????

Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah, bwana wale walikuwa watumwa wa ndugu zake mungu wetu.

Hawajakuwa watumwa wa wajinga wajinga wa Kiarabu.

Saa hizi wale wangerkuwa wavaa kobazi. Sasa wanavaa cheni na hereni wakafundishwa na kukata viuno kuliko wacheza kigodoro.

Si unaona TEC, midume vya mbegu, yenye akili, waraka mmoja tu, bandari imetemwa na mwarabu.
 
Aaah, bwana wale walikuwa watumwa wa ndugu zake mungu wetu.

Hawajakuwa watumwa wa wajinga wajinga a Kiarabu.

Hahaha!!!Ukht nmekupata vyema

Hahaha!!!Ukht nmekupata vyema,inaitwa kinyumenyume style

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaah, bwana wale walikuwa watumwa wa ndugu zake mungu wetu.

Hawajakuwa watumwa wa wajinga wajinga a Kiarabu.

Saa hizi wale wangerkuwa wavaa kobazi. Sasa wanavaa cheni na hereni wakafundishwa na kukata viuno kuliko wacheza kigodoro.

Si unaona TEC, midume vya mbegu, yenye akili, waraka mmoja tu, bandari imetemwa na mwarabu.
Hahaha!!!!!nmekusoma btn the lines yaah Ukhty

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumehamishwa Ukraine tumepekwa gaza, Je mnazisikia za Ukraine siku hizi ? Akili kichwani mwako. Na hapa tulikuwa na makelele ya Chadema na waarabu ,ikawa mpaka pa kutia mguu hakuna kila kitu ni bandari.

Je Chadema walikuwa wanatafuta kiki? Na kutaka kuwaburuza waTanzania kuwa nchi inauzwa kwa waarabu ? Hiki Chama ni hatari sana waliwakusanya mapadre na mashee wasiojielewa na kupanga uasi wa kuhakikisha Raisi samia au serikali ya CCM inapinduliwa au kuangushwa kabla ya uchaguzi mkuu ujao.

ilivyo ilihitajika hiki Chama kufutwa mara moja,leo hii wachochezi wote wamechawanyika baada ya mbinu zao za kuiangusha serikali kupigwa na chini,mkichaa kakimbilia Ulaya,Balaa kafungua chama chake na kengeza yupo yupo tu.
CCM oyee.

Tuko bize na ndugu zetu wapalestina dhidi ya mayahudi waliolaaniwa
 
Wewe ni mpumbavu kama Wapumbavu wengine wa CCM tu

Binti wa kiislamu anakunywa bia ndani ya hijab.
Hakuna kitu hapo,kosa hapo,itakuwa amevunja sheria tu na hawakilishi Uislamu ,sijui unafahamu maana ya dhambi ,wanaokula nguruwe hawaiwakilishi dini yao .kwani ndani ya dini yao pia nguluwe ni halamu.

Msichanganye madhambi na dini nani aliwambieni kuwa waislamu ndio Uislamu ?
 
Bwa
Binti wa kiislamu anakunywa bia ndani ya hijab.
Wewe hodari sana, alikuingiza ndani ya hijab umuone? Yanjidqibtu hayo Maislamu, malevi tu.

Bora kulewa vilabuni wazi wazi, raha juu ya raha au siyo?
 
Back
Top Bottom