Makinda ashangaa wasomi wanaokula bure makwao

Elimu iboreshwe ili raia wajitambue vizuri?. Hujui kwa sisi watu weusi ujinga ni mtaji kwa wanasiasa ili waweze kutawala na kufanya ufisadi bila kuhojiwa na bado wakipita barabaran wanapigiwa shangwe.

Nikupe mfano mdogo tu, wabunge wengi wapiga kura wao ni watu wa hali ya chini kabisa. Na wengi hata uelewa wao na familia zao ni mdogo sana sababu ya kukosa elimu bora. Hii inapelekea kumpitisha mwakilishi huyo huyo hata kama hakuna jambo la maana analofanya.
 
Mm namshauri mama Makinda kwa kuwa yeye ni spika mstaafu na kamishna wa sensa 2022 ana pesa nyingi sana.
Awape hata pesa ya kununua wembe kwa kila kijana msomi anayekaa kwao bila kazi.
Hii itasaidia vijana kuwa smart na kutonuka makwapa na "ikulu" kutokana na mavuzi kujaa.
 
Toka naanza kuijua dunia yaani enzi za a, be ,che ,de, huyu maza yupo namsikia,mpk leo nna watoto na wajukuu huyu mtu yupo tu aisee huyu naona itafika siku ataamua kuondoka mwenyewe yaani km malikia Elizabeth.
Maana yuko chuma kweli kweli na huskii kuumwaumwa wala nini.
 
🤣🤣🤣
 
Msg sent Kila Kona unawakuta na bahasha za kaki
 
Cha ajabu wasomi uchwara watakuja kumshambulia hapa, kijana ana nguvu zake na ni msomi ila hafanyi chochte analala tu kama demu na kusubiri msosi wa shikamoo..
Mkuu wengi wapo hivyo nashukuru mungu nilipomaliza chuo nilitafuta ajiraikawa ngumu namsuukuru mungu nilianza kupambana nikaachana na kutembea na bahasha ya kaki
 
Cha ajabu wasomi uchwara watakuja kumshambulia hapa, kijana ana nguvu zake na ni msomi ila hafanyi chochte analala tu kama demu na kusubiri msosi wa shikamoo..
Shukuru Mungu wako, achana na madharau jombaa.
Tunapiga kazi mwisho unaambulia 20,000. Kazi imeisha, unapambana kupata nyingine tayari mpaka wiki inaisha, ka 20k kamekata mpaka mtu anakosa nauli.
 
Hilo limemfikia mkuu🙏🙏
 
"Dk Batilda amesema awali walikadiria kuhesabu kaya 490,000 lakini hasa wanakamilisha walihesabu kaya 577,128 sawa na asilimia 118."

Aliyekuwa akiongea hayo matamshi ni mkuu wa mkoa wa Tabora, hivyo takwimu hizo ni za mkoa wa Tabora pekee...
Watu wengi hawasomi kilichoandikwa.
 
Aache yeye kazi ili sisi vijana wasomi tuchukuwe nafasi yake.Yeye hana mtoto aliyekosa ajira.
 
Ipo siku watafanikiwa tu ila kwa sasa tukazanie swala la katiba mpya.
 
Kwan ye anaumia nini,km kaz hamna acha wale bure, wanasiasa wanapenda sana kuwasimanga vijana wasio na ajira especially wasomi,wakijinyonga kwa stress za masimango ndo furaha yao
 
Ni wasenge wasiokua na maana
 
Usisubiri serikali ikuajili, kawe hata machinga...
Na ndo maana kasema wasiosoma wanajishughulisha, waliosoma wanakula bure ie kama wewe
Nilishastaafu miaka kadhaa iliyopita japo sijapata uteuzi kama hao wenzetu wanaokosoa pasipo kutafiti tatizo lipo wapi. Rekebisha hapo chini.
 
Alishawahi kujiajiri huyu Msimbe?
 
Wakati kilio cha watu kukosa ajira hasa kwa vijana kikiendelea kushika kasi, Kamisaa wa Sensa Tanzania Bara, Anne Makinda, amesema kuna idadi kubwa ya wasomi wanaoishi kwa wazazi wao wakila bure kwa kutotaka kufanya shughuli za kuingizia kipato.
Serikali inastahili lawama kwa upande fulani, huvi majuzi kumeingizwa aageni kuja kufanya kazi ambazo wasomi wa kitanzania wangeweza kufanya, mathalani kuna waarabu wapo Njombe kuanzisha mashamba ta parachichi wakati serikali ingewapa mikopo yenye masharti nafuu graduates wa SUA na vyuo vingine vya kilimo ili wajikite huko badala ya kuingiza waarabu kuanzisha mashamba hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…