Tetesi: Makinda kumrithi JK Uenyekiti CCM

Wana CCM tuna imani na Mama maana alifanya kazi iliyo tukuka pale bungeni kipindi cha uongozi wake, Ni mtu asiyependa ufisadi na ndio maana alisimamia kuwajibika kwa waliohusika na ESCROW
 
CCM tunahitaji mtu makini aina ya mama Mhe. Makinda. ili chama kizoe viti vyote vya ubunge 2020 maana tuna uhakika mgombea urais atashinda kwa asilimia zote
 
Let Magufuli lead any attempt to reduce his authority will indicate the worry of some in CCM "kutumbuliwa"
 
Wacha Makinda aingie tumkomeshe mtumbuaji
 
Si JK alisema atamkabidhi Magu mwezi Juni, sasa hiki kiherehere kingine kinatoka wapi?? Wanagwaya nini sasa? SI walimpenda wenyewe???
 
Unaelewa utaratibu wa chama chako ccm kwamba mwenyekiti lazima awe rais
Rais lazima awe mwenyekiti si mwenyekiti lazima awe Rais. Ingekuwa hivyo,Makinda angemnyang'anya Magu ofisi kuu
 
Laiti kama CCM ingekuwa na "haya" japo kidogo mngetafakari yaliyotokea mwaka jana!! Kilichotokea sio ndoto wala hadithi, ni Sawa na kengele ya hatari imepigwa kwenu ili mjitafakari!

Rais Magufuli ndio mtu sahihi wa kushika nafasi ya mwenyekiti ndani ya CCM na hii yote ni kama KARMA tu, reformation ya hali ya juu inahitajika ndani ya chama, majigambo na tambo zisizo na kichwa wala miguu hayatawasaidia tena! Siasa za FITNA zimepitwa na wakati, kama mmechoka au MNAMUOGOPA Rais Magufuli ni kheri mbadirike au mumpishe afanye kazi!!

Mnapoteza muda na kuharibu maisha ya watanzania wa sasa na wajao kwa kuwekeana vikwazo vya kipuuzi!!

**Au ile speech aliyotoa kwa wazee wa darisalama imewakata stimu!

"Ifike mahali watanzania tujiulize tumemkosea nini Mungu?"- Rais Magufuli
 
Katiba inamruhusu Magufuli kuhamia Chama chochote cha siasa, yeye na serikali yake.
 
Wahafidhina wanafanya kila watakalo wamdhibiti Magufuli wanashindwa nawashauri mwambieni bibi Makinda hatumtaki
 
Ukiona hivyo huo mpango upo tayari,dah Jk anamuogopa Magufuli kama paka na panya.na huo mpango hautahishia hapo hiyo kuna misaion kubwa mbele.
 
Hongera sana CCM hongera sana Mwenyekiti kwa kuliona hili
 

MKAPA alipoingia tu magogoni aliweza kubadili majenali wate wa majeshi aliweka wapya, KIKWETE Alipoingia pia aliweka wakwake, tena alimludisha mwema alikua intapol na kumteua kua IGP, kwa mifano hiyo hapo inaonyesha jinsi JK na BMW waliingia magogoni wakiwa waziefu wa system hizi muhimu kwenye nchi, lakini JPM hadi leo bado anatumia system za JK, hii inaonyesha kua jpm ameingia magogoni akiwa mgeni, kwahiyo inahitaji muda kidogo hadi awe mwenyeji, utumbuaji wa majipu kwenye ofisi za uma ni tofauti kidogo na utumbuaji kwa wanachama wenzio usipokua makini utajikuta unakua bize na wanachama unasahau serkali na wananchi wako, na kama unakumbuka hata jk mwenyewe walishawahi kumtaka asiwe mwenyekiti wa chama kalbu mala2 hii ni kwasababu ingawa kunasababu zingine lakin kubwa ni BADHI YAO WALIHISI ANATAKA KUUA CHAMA NA HII NI KUTOKANA NA TABIA YAKE YA KUWAACHA HURU SAANA WAPINZANI WAROPOKE, NA KUSEMA WANACHOTAKA. na ngoja huyo muheshimiwa apate uzoefu, akabidhiwe na chama, UPONZANI UJIANDAE KUDODA kama sio kuzimika kabisa MAANA HAWATAPATA UHURU KAMA WALIOKUA WANAUPATA KWA MIAKA 10.
 
Mumeshaanza,wacha huyo bibi alee wajukuu zake,atastaafu mara ngapi?
 
Kwa CCM kila kitu kinawezekana
Mtamuua mama yetu Makinda kwa ugonjwa wa Moyo. Kwanza alishasema hataki tena siasa. Mwacheni mama apumzike. Kama ishu ni Gender mbona CCM ina MIGUBELI mingi tu? Mama Makinda Muungwana sana mwacheni heshma yake ijitunze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…