Mwenyekiti ni KINANA katibu ni Emmanueli NCHIMBI
Kama ccm kweli wanataka kuimarisha chama chao na kuutokomeza ufisadi ni mtu mmoja tu ambaye anafaa kuwa Mwenyekiti wa ccm kama wanataka kumruka Magufuli ni Mangula; he is a good strategist anaekifahamu chama na pia muadilifu hawezi kuyaficha majipu hivyo watafanya kazi vizuri na Rais!!! Nchimbi will be a disaster kwani ni mtu wa ndani wa Lowassa.