Ukikua utajua niongeacho.Aliwazalo mjinga ndilo litakalo mtokea.
"Sijui aliwaza nini Afande Sele kuimba huo msitari?
[emoji23][emoji23]hehe nilikuwa nakutania .Najua nilichokiandika.
Wewe ikiwa una Maarifa ongeza.
Sijakataa, akae nje au ndani ya nyumba isochangamana na unapolala.Mimi nadhani paka huwa anasaidia sana hasa jirani na makazi yako kuna nyoka,atawapunguza sana.
Ni sawa, lakini hakikisha paka wako wasipande kwenye mabati ya watu usiku na kupiga kelele za ajabu ajabu.
Mkuu nasubir jibu nimeona kimya?Sijakataa, akae nje au ndani ya nyumba isochangamana na unapolala.
Nimetoa angalizo, sijafunga akili Yako kuwaza vinginevyo.
Kuhusu nini?Mkuu nasubir jibu nimeona kimya?
Hayo yaliyokutokea ni matokeo ya ulichokuwa unakiwaza muda mrefu na hilo la kumkuta mjusi kitandani usiku ama umetunga au mkeo hakutandika kitanda hivyo mlishusha chandarua tu na mjusi mkamfungia ndani ya chandarua awape kampani.Ukikua utajua niongeacho.
Mimi nilikuwa katika vita halisi, Si ndotoni.
Najua ninachoongea, bt wewe usiyejua kutofautisha, mawazo, ndoto, maono na Ulimwengu wa Roho, huwezi elewa.
Mtumishi wa Mungu wa Kweli, siwezi kutunga stori ya uwongo.Hayo yaliyokutokea ni matokeo ya ulichokuwa unakiwaza muda mrefu na hilo la kumkuta mjusi kitandani usiku ama umetunga au mkeo hakutandika kitanda hivyo mlishusha chandarua tu na mjusi mkamfungia ndani ya chandarua awape kampani.
Rabbonmkuu Rabbon
Rigveda na genesis kipi kitabu cha kwanza?
Kwa mantiki hiyo hiyo ya genesis, kilikuwa kitabu cha huku kwetu nanjilinji au katika jamii ya kiyahudi?
Acha uhuni,Mungu yupi huyo unayemtumikia mpaka asikabiriane na mjusi na kuruhusu akutese namna hiyo?Mtumishi wa Mungu wa Kweli, siwezi kutunga stori ya uwongo.
Baba yangu ni mkweli.
Amen
"Kurudisha mahusiano na mungu kupitia yesu ambae ni mungu"Kuokoka ni kurudisha uhusiano na Mungu kupitia Yesu ambaye ni MUNGU aliyekuja katika mwili wa mwanadamu Ili kuuokoa Ulimwengu.
Kuokoka ni Kuzaliwa mara ya pili na kubatizwa Kwa ubatizo wa moto wa Roho mtakatifu.
Kuokoka ni kupewa nafasi ya kuitwa mwana wa Mungu.
Kuokoka ni kumkiri Yesu Kristo kuwa ni BWANA na Mwokozi wa maisha Yako.
Kuokoka ni kuishi maisha ya utakatifu.
Amen
No comment.Acha uhuni,Mungu yupi huyo unayemtumikia mpaka asikabiriane na mjusi na kuruhusu akutese namna hiyo?
Sijibu maswali nje ya mada.
Wewe ndio ulitoka nje ya mada.Sijibu maswali nje ya mada.
Tujikite kwenye mada tafadhali 🙏
No comment.Wewe ndio ulitoka nje ya mada.
Ulisema kuhusu Adam na Hawa.
sasa umeshindwa baada ya kuona uongo unaoongea unasingizia nje ya mada.
Haya ndugu Rabbon.
Jitahidi upunguze uongo
Ahsante sana.
Sema tu mimi sijazoea kutukana la sivyo huyu jamaa mtoa mada ningemuita FALA.Wewe ndio ulitoka nje ya mada.
Ulisema kuhusu Adam na Hawa.
sasa umeshindwa baada ya kuona uongo unaoongea unasingizia nje ya mada.
Haya ndugu Rabbon.
Jitahidi upunguze uongo
Ahsante sana.
Sio fala tu ni mwenda wazimu.Sema tu mimi sijazoea kutukana la sivyo huyu jamaa mtoa mada ningemuita FALA.
Sema tu ndio hivyo matusi sio jadi yangu.
No commentSio fala tu ni mwenda wazimu.