Makinika na mijusi wa ndani ya nyumba!

Makinika na mijusi wa ndani ya nyumba!

Najua nilichokiandika.

Wewe ikiwa una Maarifa ongeza.
[emoji23][emoji23]hehe nilikuwa nakutania .

Kiukweli.

Paka wachawi..
Bata wachawi..
Kuku wachawi..
Mbwa wachawi..
Njiwa wachawi..
Mijusi wachawi.. na Panya ndio usiseme wachawi haswaaa.
Hata Hawa samaki wa baharini nasikia wanakuja na majini.[emoji119]

Hallelujah [emoji1690]
 
Ukikua utajua niongeacho.

Mimi nilikuwa katika vita halisi, Si ndotoni.

Najua ninachoongea, bt wewe usiyejua kutofautisha, mawazo, ndoto, maono na Ulimwengu wa Roho, huwezi elewa.
Hayo yaliyokutokea ni matokeo ya ulichokuwa unakiwaza muda mrefu na hilo la kumkuta mjusi kitandani usiku ama umetunga au mkeo hakutandika kitanda hivyo mlishusha chandarua tu na mjusi mkamfungia ndani ya chandarua awape kampani.
 
Hayo yaliyokutokea ni matokeo ya ulichokuwa unakiwaza muda mrefu na hilo la kumkuta mjusi kitandani usiku ama umetunga au mkeo hakutandika kitanda hivyo mlishusha chandarua tu na mjusi mkamfungia ndani ya chandarua awape kampani.
Mtumishi wa Mungu wa Kweli, siwezi kutunga stori ya uwongo.

Baba yangu ni mkweli.

Amen
 
Kuokoka ni kurudisha uhusiano na Mungu kupitia Yesu ambaye ni MUNGU aliyekuja katika mwili wa mwanadamu Ili kuuokoa Ulimwengu.

Kuokoka ni Kuzaliwa mara ya pili na kubatizwa Kwa ubatizo wa moto wa Roho mtakatifu.

Kuokoka ni kupewa nafasi ya kuitwa mwana wa Mungu.

Kuokoka ni kumkiri Yesu Kristo kuwa ni BWANA na Mwokozi wa maisha Yako.

Kuokoka ni kuishi maisha ya utakatifu.

Amen
"Kurudisha mahusiano na mungu kupitia yesu ambae ni mungu"

Tutakesha haoa mkuu wacha nikubali tu ndugu yangu MWOKOVU.
 
Wewe ndio ulitoka nje ya mada.

Ulisema kuhusu Adam na Hawa.
sasa umeshindwa baada ya kuona uongo unaoongea unasingizia nje ya mada.

Haya ndugu Rabbon.
Jitahidi upunguze uongo

Ahsante sana.
No comment.
 
Back
Top Bottom