Makofi mengi bungeni kwa Ndugai yanamaanisha nini?

Makofi mengi bungeni kwa Ndugai yanamaanisha nini?

Unafiki ni sifa inayo ambatana na tabia za kufata mkumbo na kutokuwa na msimamo kwa hiyo usishangae sana watu kupigiwa makofi au kusifiwa na watu walio waponda sana!
IMG_0754.jpg
 
Maisha safari ndefu
Maisha mwendo mdundo
wengi waliyachezea haya maisha
sasa wajuta na kifikiri
kuwa maisha fainali ipo uzeeni

oooh JOB NDUNGAI
nalia ooh nalia ooh

sawa MAGU napata tabu huku mwenzio
TULIA kachukua CHEO CHANGU


OLE SABAYA
BABAA POLEPOLE
PAPAA BASHITE
Wapi BASHIRU
 
Upendo? Uzalendo? Ushujaa, mwana mpotevu, au nini?

Of course sifa kubwa ya kuwa CCM ni UNAFIKI. Kwa wabunge waliopo CCM kwa sasa sidhani kama waliompigia makofi ya upendo wanafika hata 10. Kwa haiba ya Job Ndugai atakuwa alikwisha wakwaza wabunge wengi sana hata kwenye CCM.

Yale makofi ni kumkaribisha benchi ili alione bunge kwa mtazamo tofauti baada ya kuhudumu kama NaibuSpika na Spika kamili kwa miaka 11 huku akiwa anajigamba kama mtu ambaye hawezi kufanywa lolote kwenye ule mhimili.

Kiukweli tumshukuru Mungu wetu kwa namna alivyoweza kumnyamazisha Magufuli na vibaraka wake waliokuwa wanamuabudu na kutaka kumfanya Rais wa milele wa Tanzania
 
Njaa mbaya sana.mimi nilidhani atasusia bunge ategemee pension ya spika mstaafu.kumbe anatamani hata posho za vikao.😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom