Makofi mengi bungeni kwa Ndugai yanamaanisha nini?

Makofi mengi bungeni kwa Ndugai yanamaanisha nini?

Jf nako ni unafiki tu kama itakuwa nanyi hamjuhi maana ya mtu kupigiwa makofi, si kushangiliwa!?😎😎
 
Jiwe akufukuze kazi alfu uje utokee a mahali umeshangiliwa wale walioshangilia wote watapata mizukozuko memgi na baadhi huwenda wasirudu bungeni
 
Wanasaccos wangekuwemo wangezomea.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Wewe ni mpumbavu na hatuna wa kukufananishab naye. Mageuzi ya kisiasa yanaweza kuletwa hata na keep kikundi chochote au mtu yeyote peke yake! Unajua mageuzi yaliyosababisha kuondolewa kwa Rais wa Tunisia yalianzishwa mmachinga mmoja mmoja tu!!! Kama huelewi uliza Chiluba alimng'oa Kaunda na chama cha siasa???
 
Walikuwa wanamkejeli tu. Alipoyakoroga wabunge wote hadi wagogo wenzake walimkataa na kumlaani
 
Kumbuka hao wote ni wala keki ya Taifa na wasiotosheka na Ndugai katika kipindi chake alihakikisha yeye pamoja na hao wasioshiba wanaongezewa urefu wa kamba zao waweze kula mpaka kukinai..., hao aliowabania ni kwamba tu waliingia kwenye kumi na nane zake au za bosi wake...., In short Baniani ni Mbaya ila Kiatu chake ni Dawa...
 
Mimi ningemuona shujaa Kama asingekanyaga bungeni. Ila kitendo Cha kukanyaga bungeni Ni ishara kuwa ana njaa Sana na anoagopa kufukuzwa bungeni.
Kwa nini asikanyage Bungeni wakati yeye ni Mbunge?
 
Back
Top Bottom