Makofi mengi bungeni kwa Ndugai yanamaanisha nini?

Makofi mengi bungeni kwa Ndugai yanamaanisha nini?

Maisha safari ndefu
Maisha mwendo mdundo
wengi waliyachezea haya maisha
sasa wajuta na kifikiri
kiwa maisha faina fainali ipo uzeeni

a1ia
Hivi unaelewa Pensheni anayovuta kama Spika Mstaafu?

Wewe tafuta Riziki yako,mambo mengine unayapita tu.

Huyo jamaa hayuko kundi la walala hoi kwa maisha yake yote.
 
Ni makofi ya kumhadaa (kejeri) aliyejiita mtemi baada ya kuingia kwenye 18 za maza !! Ki2 kizito - chaliiiiii.
 
Amini nakwambia. Ikipigwa kura ya kutokuwa na imani na Ndugai. 100% watasema hawana imani nae[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tuseme ukweli, hatujawahi kuwa na spika mbabe Kama kitu Ndugai!! We msikie tu! Mwulize Zito akusimuliye!

Hana Cha ubabe wowote. Angekuwa mbabe asinge lamba viatu vya mama aliomba msamaha Hadi kukiri Mara tatu. Halafu mbabe gani ana njaa hivyo hadi kukimbilia bungeni ili asifukuzwe?. Yeye alipomfukuza Lissu aliona kawaida ila ilipomfikia yeye amekimbia resi bungeni. Muoga Sana, Bila dola Ni mwepesi Sana.
 
Mimi ningemuona shujaa Kama asingekanyaga bungeni. Ila kitendo Cha kukanyaga bungeni Ni ishara kuwa ana njaa Sana na anoagopa kufukuzwa bungeni.
Unless huwajui CCM wewe, fanya kiburi hata hio posho ya spika mstaafu unaweza ukapigishwa mark time ukabaki kupiga mihayo tu!
 
Yamesemwa mengi sana ya kuchonganisha kati ya Ndungai na Serikali hii inaleta matumaini sana Kwa Taifa najua Kuna watu hawapendi.
 
Back
Top Bottom