Makofi mengi bungeni kwa Ndugai yanamaanisha nini?

Makofi mengi bungeni kwa Ndugai yanamaanisha nini?

Na ww kwann umekomalia ni unafiki tuu na sio kuweka mizani sawa bila kuegemea upande wowote.?
Kukomalia tena?? Chief stress za kupanda bei usiniletee mimi na hili ni jukwaa huru mambo ya mizani peleka kwa mkeo nyumbani. Tusipangiane.
 
Kukomalia tena?? Chief stress za kupanda bei usiniletee mimi na hili ni jukwaa huru mambo ya mizani peleka kwa mkeo nyumbani. Tusipangiane.
Tatizo letu Wabongo, mtu akiwa tofauti na mawazo yako bc lazima umuone adui. Anyway sio lazima wote tuamini kwenye jambo moja.
 
Ni wabunge wa ccm hao, wao kila kitu hushangilia ! 🤣
kweli lakini, walimshangilia kwa nguvu ileile Mzee Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa Mama. Kuna dalili za nidhamu ya woga, unafiki au kujipendekeza fulani fulani. Kiongozi makini hadanganywi na makofi mengi anayopigiwa na watu wake. Wengi wao wanalinda ajira zao
 
Nadhani wabunge wote waafiki alichokisema Ndugai juu ya suala la madeni ila tu hawana namna na hawawezi kusema.
Nadhani ukimuuliza mbunge mmojammoja pembeni sio hadharani ataunga mkono hoja ya Ndugai ila kwasababu ya Maslahi hadharani hawezi kusema.
You're very right
 
Back
Top Bottom