Of course sifa kubwa ya kuwa CCM ni UNAFIKI. Kwa wabunge waliopo CCM kwa sasa sidhani kama waliompigia makofi ya upendo wanafika hata 10. Kwa haiba ya Job Ndugai atakuwa alikwisha wakwaza wabunge wengi sana hata kwenye CCM.
Yale makofi ni kumkaribisha benchi ili alione bunge kwa mtazamo tofauti baada ya kuhudumu kama NaibuSpika na Spika kamili kwa miaka 11 huku akiwa anajigamba kama mtu ambaye hawezi kufanywa lolote kwenye ule mhimili.
Kiukweli tumshukuru Mungu wetu kwa namna alivyoweza kumnyamazisha Magufuli na vibaraka wake waliokuwa wanamuabudu na kutaka kumfanya Rais wa milele wa Tanzania