Hiyo ni ishara ya kumkaribisha mwana mpotevu ambaye alipotelea mahali pasipojulikana!π₯ΊUpendo? Uzalendo? Ushujaa, mwana mpotevu, au nini?
Of course sifa kubwa ya kuwa CCM ni UNAFIKI. Kwa wabunge waliopo CCM kwa sasa sidhani kama waliompigia makofi ya upendo wanafika hata 10. Kwa haiba ya Job Ndugai atakuwa alikwisha wakwaza wabunge wengi sana hata kwenye CCM.Upendo? Uzalendo? Ushujaa, mwana mpotevu, au nini?
Shujaa wa Tanganyika ndani ya nyumba!!Upendo? Uzalendo? Ushujaa, mwana mpotevu, au nini?
Sijui ni unafiki?Hiyo ni ishara ya kumkaribisha mwana mpotevu ambaye alipotelea mahali pasipojulikana!π₯Ί
Upendo? Uzalendo? Ushujaa, mwana mpotevu, au nini?
Ujinga na UPUMBAVU nao ni KIPAJIUpendo? Uzalendo? Ushujaa, mwana mpotevu, au nini?