Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
Kukomalia tena?? Chief stress za kupanda bei usiniletee mimi na hili ni jukwaa huru mambo ya mizani peleka kwa mkeo nyumbani. Tusipangiane.Na ww kwann umekomalia ni unafiki tuu na sio kuweka mizani sawa bila kuegemea upande wowote.?
Wana mnafikia siunajua chama cha kijani..na unafiki ni kama mapacha.Upendo? Uzalendo? Ushujaa, mwana mpotevu, au nini?
Tatizo letu Wabongo, mtu akiwa tofauti na mawazo yako bc lazima umuone adui. Anyway sio lazima wote tuamini kwenye jambo moja.Kukomalia tena?? Chief stress za kupanda bei usiniletee mimi na hili ni jukwaa huru mambo ya mizani peleka kwa mkeo nyumbani. Tusipangiane.
Sasa huoni kama unajisema mwenyewe ulienambia nakomalia?Tatizo letu Wabongo, mtu akiwa tofauti na mawazo yako bc lazima umuone adui. Anyway sio lazima wote tuamini kwenye jambo moja.
kweli lakini, walimshangilia kwa nguvu ileile Mzee Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa Mama. Kuna dalili za nidhamu ya woga, unafiki au kujipendekeza fulani fulani. Kiongozi makini hadanganywi na makofi mengi anayopigiwa na watu wake. Wengi wao wanalinda ajira zaoNi wabunge wa ccm hao, wao kila kitu hushangilia ! 🤣
You're very rightNadhani wabunge wote waafiki alichokisema Ndugai juu ya suala la madeni ila tu hawana namna na hawawezi kusema.
Nadhani ukimuuliza mbunge mmojammoja pembeni sio hadharani ataunga mkono hoja ya Ndugai ila kwasababu ya Maslahi hadharani hawezi kusema.
Upendo? Uzalendo? Ushujaa, mwana mpotevu, au nini?