Hilo linalo jiita
Gavana, ni Jini kuu la Kiislamu.
Lipo ili Kumpinga Yesu Kristo, yaani ni Lipinga Kristo likimuunga mkono Nabii wake Mpinga Kristo Muhammadi.
Ni la kuliacha tu lisumbuke na Uungu wa Yesu.
Yesu yupo na atakuja siku ya Kiyama kulitupa Jehanamu (Motoni) pamoja na mtume wake.
WAPINZANI WA YESU / ANTI CHRIST
Bwana Yesu Kristo alitumwa na Mwenyezi Mungu alifundisha mafundisho mazuri. Lakini baadaye wahalifu wake (Anti Christ) walikuja ambao waliharibu mafundisho yake mazuri.
Ningependa kuwataja baadhi yao ambao wametenda kinyume cha vitendo na mafundisho yake. Kwa mfano:
PAULO NI MPINZANI WA YESU
Yesu alisema:
1. Katika njia ya Mataifa msiende. (Mathayo 10:5). Lakini Paulo akafundisha:
A. Nimekabidhiwa Injili ya wasiotahiriwa. (Wagalatia 2:7, maandishi ya Paulo).
B. Amewafungulia mataifa mlango wa imani. (Matendo ya Mitume 14:27).
2. Yesu alitahiriwa sku ya 8 (Luka 2:21). Yohana alitahiriwa siku ya 8 (Luka 1:59). Paulo alitahiriwa siku ya 8 (Wafilipi 3:5) Lakini yeye mwenyewe alipinga kutahiriwa (Wagalatia 5:2-6).
Yesu alisema:
3. Msidhani kuwa nalikuja kuitangua Torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. Kwa maana, amin, nawaambia, mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya Torati haitaondoka, hata yote yatimie. Basi mtu yeyote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atayezitenda na kuzifundisha , huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni. Maana nawaambia ya kwamba, Haki yenu isipozidi hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni. (Mathayo 5:17-20).
Lakini Paulo anasema: Sheria ni laana. (Wagalatia 2:16-21, 3:10-13). Warumi 7: yote).
4. Bwana Yesu alisema: Msichukuwe dhahabu, wala fedha, wala mapesa mifukoni mwenu: (Mathayo 10:9).
Hivyo Wakristo wale ambao wanakusanya mali ni Madajjali (AntiChrist).
5. Bwana Yesu alisema: Lakini mimi nawaambia msishindane na mtu mwovu; lakini mtu akupigaye shavu la kuume mgeuzie na la pili. Na mtu atakaye kukushitaki na kuitwaa kanzu yako, mwachie na joho pia. (Mathayo 5:39-40). Hivyo Wakristo wale ambao wanagombana ni Madajjal (Ant Christ).
6. Yesu pia alikataza kuitwa Kristo: Ndipo alipowakataza wanafunzi wake wasimwambie mtu yeyote kwamba yeye ndiye Kristo. (Mathayo 16:20). Hivyo Wakristo ambao wanatangaza kwamba Yesu ndiye Kristo ni Madajjal (Ant Christ).
7. Kwa maana nalikuja kumfitini mtu na babaye, na binti na mamaye, na mkwe na mkwe mtu. (Mathayo 10:35,
Luka 14:26, 12:51, 5:2)
Hivyo Wakristo ambao wanapenda amani wala hawatumii upanga ni Wapinzani wa Yesu (Anti Christ)