Makomando wa Marekani waingia Somalia na kumuua mkuu wa magaidi wa IS

Mbona majibu ya Allah yapo wazi nini usichoelewa au hupendi majibu ya Allah
Allah anasema
Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....

Yesu anasema
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.

kweli umemaliza 😛😛

Huyo anayetupa taarifa Za Yesu hapo kwenye John 8:12 ndiye Yesu ?
 
323274499_882091319879036_1007734258275865454_n.jpg
 
Mbona majibu ya Allah yapo wazi nini usichoelewa au hupendi majibu ya Allah
Allah anasema
Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....

Yesu anasema
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
 
Mbona majibu ya Allah yapo wazi nini usichoelewa au hupendi majibu ya Allah
Allah anasema
Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....

Yesu anasema
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.

kweli umemaliza

Huyo anayetupa taarifa Za Yesu hapo kwenye John 8:12 ndiye Yesu ?

Mistari ifuatayo inaeleza kwa uwazi kwamba hakuna mtu aliyemwona Mungu.

Yohana 1:18 Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote.

Kutoka (Exodus) 33:20 Akasema, Huwezi kuniona uso wangu, kwa maana hakuna mtu atakayeniona akaishi.

Kwa hiyo aya hizo zinaonyesha wazi kwamba hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wowote, na kwamba hakuna mtu anayeweza kuuona uso wake, na kama watamwona basi watakufa.

Hata hivyo, kuna mistari kadhaa katika Biblia inayoonyesha wanadamu wameuona USO wa Mungu na hawajafa, ama Wakristo wanakubali mistari hiyo kuwa inapingana na mistari niliyonukuu, au wanakubali kwamba Biblia inapodai kwamba mtu wameuona uso wa Mungu, au wamemwona Mungu, kimsingi inamaanisha wameuona utukufu wa Mungu na nguvu za Mungu, sio wao kumtazama Mungu kihalisi.
 
Allah anamtaja Mungu kwamba ni mwanga na wala hajajitaja yeye Allah ni mwanga

Yesu amejitaja mwenyewe kwamba niwanga

yesu amejitaja wapi ?? Mbona unatuwekea maneno ya mtu tunayeambiwa ni John ??
 
Allah anamtaja Mungu kwamba ni mwanga na wala hajajitaja yeye Allah ni mwanga

Yesu amejitaja mwenyewe kwamba niwanga

SABABU KUBWA 15 KWANINI YESU SI MUNGU PAMOJA NA AYA 90 ZA KIBIBLIA KWAMBA YESU SI MUNGU:

• Mathayo 24:36

• Hakuna ajuaye siku hiyo au saa hiyo, hata Mwana, ila Baba peke yake.

• Hapa Yesu anaweka tofauti kati ya kile anachojua na kile ambacho Baba anajua.

• Mathayo 26:39

Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke, lakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.

• Mapenzi ya Yesu vile vile ni uhuru kutoka kwa Mapenzi ya Mungu. Yesu anatafuta kukubaliwa na mapenzi ya Mungu.

• Yohana 5:26

• Maana kama vile Baba alivyo na uzima ndani Yake, vivyo hivyo amemjalia Mwana kuwa na uzima ndani yake.

• Yesu alipokea uhai wake kutoka kwa Mungu. Mungu hakupokea maisha yake kutoka kwa mtu yeyote. Yeye anaishi milele.

• Yohana 5:30

• Mimi mwenyewe siwezi kufanya neno lo lote; nahukumu kama nisikiavyo tu, na hukumu yangu ni ya haki; kwa maana sitafuti kujipendeza nafsi yangu, bali yeye aliyenituma.

• Yesu anasema, “Mimi mwenyewe siwezi kufanya neno lolote.” Hii inaonyesha kwamba Yesu anategemea uhusiano wake mwenyewe na Mungu. Yeye hajaribu “kujifurahisha mwenyewe” bali anatafuta “kumpendeza yeye aliyenituma.”

• Yohana 5:19

• Mwana hawezi kufanya lolote peke yake; aweza tu kufanya lile analomwona Baba akifanya, kwa maana yote ayatendayo Baba, Mwana pia hufanya.

• Yesu anatangaza kwamba anafuata kielelezo kilichowekwa na Mungu. Anaonyesha utii kwa Mungu.

• Marko 10:18

• Kwa nini unaniita mwema? Hakuna aliye mwema isipokuwa Mungu peke yake.

• Hapa Yesu anaweka wazi tofauti kati yake na Mungu.

• Yohana 14:28

• Baba ni mkuu kuliko mimi.

Hili ni neno lingine lenye nguvu linalofanya tofauti kati ya Yesu na Mungu.
8. Mathayo 6:9

Baba yetu, uliye Mbinguni.
Hakuomba, Baba Yetu, ambaye umesimama papa hapa!”

9. Mathayo 27:46

Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?

Haiwezekani kufikiria ikiwa yeye ni Mungu Muumba.

10. Yohana 17:21-23

. . .wote wawe na umoja, kama wewe, Baba, ndani yangu, nami niko ndani yako. Na wao pia wawe ndani yetu ili ulimwengu upate kusadiki kwamba ndiwe uliyenituma. . ..wawe na umoja kama sisi tulivyo umoja: Mimi ndani yao na wewe ndani yangu.
Katika sala hii Yesu anafafanua neno “kuwa mmoja.” Inatimizwa kwa uwazi kupitia uhusiano wa viumbe viwili vinavyojitegemea. Waumini Wakristo wanapaswa kuiga uhusiano wao (kuwa kitu kimoja) baada ya uhusiano wa Mungu na Kristo (kama Mungu na Kristo ni wamoja). Ona kwamba “kuwa mmoja” haimaanishi kuwa “mmoja na yule yule.”

11. 1 Wakorintho 15:27-28

Kwa maana "ameweka kila kitu chini ya miguu yake." Sasa inaposema kwamba "kila kitu" kimewekwa chini yake, ni wazi kwamba hii haijumuishi Mungu mwenyewe, ambaye aliweka vitu vyote chini ya Kristo. Akisha kufanya hivyo, ndipo Mwana mwenyewe atakapowekwa chini yake yeye aliyeweka vitu vyote chini yake, ili Mungu awe yote katika yote.

Paulo anatangaza kwamba Mungu aliweka kila kitu chini ya Kristo, isipokuwa Mungu mwenyewe. Badala yake Mungu anatawala vitu vyote kupitia Kristo. (kumbuka: “Vyote vilifanyika kupitia yeye.”)

12. Waebrania 1:3

Mwana ni mng’ao wa utukufu wa Mungu na chapa kamili ya nafsi yake.

Yesu ndiye kielelezo halisi cha nafsi yake. Ninatuma mwakilishi wangu kwa Congress. Yeye si mimi, mimi mwenyewe.

Yeye ni mwakilishi wangu.

13. Waebrania 4:15 (ikilinganishwa na Yakobo 1:13)

Kwa maana hatuna kuhani mkuu asiyeweza kuchukuana nasi katika mambo yetu ya udhaifu, bali tunaye ambaye amejaribiwa kwa kila namna, kama sisi, bila kufanya dhambi.

Yesu amejaribiwa kwa kila njia, kama sisi, lakini hakutenda dhambi kamwe. Tazama

Yakobo 1:13 Mtu akijaribiwa asiseme, Mungu ananijaribu. Kwa maana Mungu hawezi kujaribiwa na uovu, wala yeye hajaribu.

Yesu alijaribiwa kwa kila njia, lakini Mungu hawezi kujaribiwa. Ndiyo maana Yesu alisema, “Msiniite mwema, hakuna aliye mwema, ila Mungu pekee.”

14. Waebrania 5:7-9

Katika siku za maisha ya Yesu duniani, alitoa sala na dua kwa kilio kikuu na machozi kwa yule ambaye angeweza kumwokoa kutoka katika kifo, naye alisikilizwa kwa sababu ya kujitiisha kwake kwa heshima. Ingawa alikuwa mwana, alijifunza kutii kutokana na mateso yake na, mara alipofanywa mkamilifu, akawa chanzo cha wokovu wa milele kwa wote wanaomtii.

Yesu alipaswa kutembea mwendo wa imani na utii ili kufikia ukamilifu. Kwa kufikia ukamilifu, Yesu “akawa” kiongozi wa watu wake.

15. Yesu ni Mungu lakini anasema ana kaka, dada na mama chini! ! !
👇👇👇👇👇👇👇👇👇

Katika Marko 3:35, Yesu alisema: “Yeyote anayefanya mapenzi ya Mungu ndiye ndugu yangu na dada yangu na mama yangu.”

Je, Mungu anaweza kuwa na kaka, dada na mama?
 
usijitoe akili.. Mi Sijauliza kuhusu kitabu chako, nimekuuliza wewe.
Kama ni kitabu hata mimi ninachangu hapa pembeni (Anthills of Savana) kina niambia" wewe ni Shoga".
Tuachane na maswala kitabu chako ama changu kinasema hivi ama vile. Hapa ninakuuliza jambo binafsi si la kitabu.

NARUDIA TENA-: WEWE HAPO UNAWEZA RUHUSU UT*MBWE MKUNDU?

Si uwende tu kwa Hao mabwana zenu wamarekani wakristo wenzenu utapata mshahara kwa kuwa shoga

SABABU KUBWA 15 KWANINI YESU SI MUNGU PAMOJA NA AYA 90 ZA KIBIBLIA KWAMBA YESU SI MUNGU:

• Mathayo 24:36

• Hakuna ajuaye siku hiyo au saa hiyo, hata Mwana, ila Baba peke yake.

• Hapa Yesu anaweka tofauti kati ya kile anachojua na kile ambacho Baba anajua.

• Mathayo 26:39

Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke, lakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.

• Mapenzi ya Yesu vile vile ni uhuru kutoka kwa Mapenzi ya Mungu. Yesu anatafuta kukubaliwa na mapenzi ya Mungu.

• Yohana 5:26

• Maana kama vile Baba alivyo na uzima ndani Yake, vivyo hivyo amemjalia Mwana kuwa na uzima ndani yake.

• Yesu alipokea uhai wake kutoka kwa Mungu. Mungu hakupokea maisha yake kutoka kwa mtu yeyote. Yeye anaishi milele.

• Yohana 5:30

• Mimi mwenyewe siwezi kufanya neno lo lote; nahukumu kama nisikiavyo tu, na hukumu yangu ni ya haki; kwa maana sitafuti kujipendeza nafsi yangu, bali yeye aliyenituma.

• Yesu anasema, “Mimi mwenyewe siwezi kufanya neno lolote.” Hii inaonyesha kwamba Yesu anategemea uhusiano wake mwenyewe na Mungu. Yeye hajaribu “kujifurahisha mwenyewe” bali anatafuta “kumpendeza yeye aliyenituma.”

• Yohana 5:19

• Mwana hawezi kufanya lolote peke yake; aweza tu kufanya lile analomwona Baba akifanya, kwa maana yote ayatendayo Baba, Mwana pia hufanya.

• Yesu anatangaza kwamba anafuata kielelezo kilichowekwa na Mungu. Anaonyesha utii kwa Mungu.

• Marko 10:18

• Kwa nini unaniita mwema? Hakuna aliye mwema isipokuwa Mungu peke yake.

• Hapa Yesu anaweka wazi tofauti kati yake na Mungu.

• Yohana 14:28

• Baba ni mkuu kuliko mimi.

Hili ni neno lingine lenye nguvu linalofanya tofauti kati ya Yesu na Mungu.
8. Mathayo 6:9

Baba yetu, uliye Mbinguni.
Hakuomba, Baba Yetu, ambaye umesimama papa hapa!”

9. Mathayo 27:46

Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?

Haiwezekani kufikiria ikiwa yeye ni Mungu Muumba.

10. Yohana 17:21-23

. . .wote wawe na umoja, kama wewe, Baba, ndani yangu, nami niko ndani yako. Na wao pia wawe ndani yetu ili ulimwengu upate kusadiki kwamba ndiwe uliyenituma. . ..wawe na umoja kama sisi tulivyo umoja: Mimi ndani yao na wewe ndani yangu.
Katika sala hii Yesu anafafanua neno “kuwa mmoja.” Inatimizwa kwa uwazi kupitia uhusiano wa viumbe viwili vinavyojitegemea. Waumini Wakristo wanapaswa kuiga uhusiano wao (kuwa kitu kimoja) baada ya uhusiano wa Mungu na Kristo (kama Mungu na Kristo ni wamoja). Ona kwamba “kuwa mmoja” haimaanishi kuwa “mmoja na yule yule.”

11. 1 Wakorintho 15:27-28

Kwa maana "ameweka kila kitu chini ya miguu yake." Sasa inaposema kwamba "kila kitu" kimewekwa chini yake, ni wazi kwamba hii haijumuishi Mungu mwenyewe, ambaye aliweka vitu vyote chini ya Kristo. Akisha kufanya hivyo, ndipo Mwana mwenyewe atakapowekwa chini yake yeye aliyeweka vitu vyote chini yake, ili Mungu awe yote katika yote.

Paulo anatangaza kwamba Mungu aliweka kila kitu chini ya Kristo, isipokuwa Mungu mwenyewe. Badala yake Mungu anatawala vitu vyote kupitia Kristo. (kumbuka: “Vyote vilifanyika kupitia yeye.”)

12. Waebrania 1:3

Mwana ni mng’ao wa utukufu wa Mungu na chapa kamili ya nafsi yake.

Yesu ndiye kielelezo halisi cha nafsi yake. Ninatuma mwakilishi wangu kwa Congress. Yeye si mimi, mimi mwenyewe.

Yeye ni mwakilishi wangu.

13. Waebrania 4:15 (ikilinganishwa na Yakobo 1:13)

Kwa maana hatuna kuhani mkuu asiyeweza kuchukuana nasi katika mambo yetu ya udhaifu, bali tunaye ambaye amejaribiwa kwa kila namna, kama sisi, bila kufanya dhambi.

Yesu amejaribiwa kwa kila njia, kama sisi, lakini hakutenda dhambi kamwe. Tazama

Yakobo 1:13 Mtu akijaribiwa asiseme, Mungu ananijaribu. Kwa maana Mungu hawezi kujaribiwa na uovu, wala yeye hajaribu.

Yesu alijaribiwa kwa kila njia, lakini Mungu hawezi kujaribiwa. Ndiyo maana Yesu alisema, “Msiniite mwema, hakuna aliye mwema, ila Mungu pekee.”

14. Waebrania 5:7-9

Katika siku za maisha ya Yesu duniani, alitoa sala na dua kwa kilio kikuu na machozi kwa yule ambaye angeweza kumwokoa kutoka katika kifo, naye alisikilizwa kwa sababu ya kujitiisha kwake kwa heshima. Ingawa alikuwa mwana, alijifunza kutii kutokana na mateso yake na, mara alipofanywa mkamilifu, akawa chanzo cha wokovu wa milele kwa wote wanaomtii.

Yesu alipaswa kutembea mwendo wa imani na utii ili kufikia ukamilifu. Kwa kufikia ukamilifu, Yesu “akawa” kiongozi wa watu wake.

15. Yesu ni Mungu lakini anasema ana kaka, dada na mama chini! ! !
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Katika Marko 3:35, Yesu alisema: “Yeyote anayefanya mapenzi ya Mungu ndiye ndugu yangu na dada yangu na mama yangu.”

Je, Mungu anaweza kuwa na kaka, dada na mama?
Investment uliyoiweka kwenye kuchambua uungu wa Yesu ungeifanya kwenye kuhubiri amani na upendo in the spirit of Ubuntu dunia ingekuwa mahali salama.Kuna watu wanaabudu ng'ombe,chatu na vinginevyo katika hii dunia.Unachotakiwa ni kuwavumilia kwa sbb tofauti lazima ziwepo.Kuna watu wanaamini Allah na Jehova ni miungu ya kipagani na wana sababu.Waheshimiwe na wasilazimishwe vinginevyo.Na kuna watu wanaamini uislam ulitengenezwa na Vatican nao waheshimiwe .Mwisho wa siku imani zetu mbalimbali ziwe sababu ya Watu kuacha mabaya na kutenda mema.Imani bila matendo ni kazi bure.Uchambuzi wa vitabu bila matendo mema ni bure
 
Hilo linalo jiita Gavana, ni Jini kuu la Kiislamu.
Lipo ili Kumpinga Yesu Kristo, yaani ni Lipinga Kristo likimuunga mkono Nabii wake Mpinga Kristo Muhammadi.
Ni la kuliacha tu lisumbuke na Uungu wa Yesu.
Yesu yupo na atakuja siku ya Kiyama kulitupa Jehanamu (Motoni) pamoja na mtume wake.
 
SABABU KUBWA 15 KWANINI YESU SI MUNGU PAMOJA NA AYA 90 ZA KIBIBLIA KWAMBA YESU SI MUNGU:
Kwa Nini unampinga Allah

Allah anasema
Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....

Yesu anasema
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
 
Kwa Nini unampinga Allah

Allah anasema
Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....

Yesu anasema
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
Quran iliposema mwenyezi mungu ni mwanga, ilikuwa inamaanisha nini??

Na yesu aliposema yeye ni mwanga alikuwa anamaanisha nini??
 
Allah anatoa jibu

Allah anasema
Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....

Yesu anasema
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
 
Allah anatoa jibu

Allah anasema
Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....

Yesu anasema
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
Acha usanii, yesu alikuwa kiumbe, alizaliwa, alikuwa anakula chakula na anakwenda choo

Aliposema mimi ni mwanga alikuwa anamaanisha nini??
 
Muulize Allah

Allah anasema
Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....

Yesu anasema
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
 
Muulize Allah

Allah anasema
Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....

Yesu anasema
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
Nakuuliza wewe uliokuja na hilo andiko baada ya kuulizwa au kutakiwa kuthibitisha uungu wa Yesu. Au unataka kusema Yesu ni mungu kutokana na hizo aya ulizozitoa??
 
Investment uliyoiweka kwenye kuchambua uungu wa Yesu ungeifanya kwenye kuhubiri amani na upendo in the spirit of Ubuntu dunia ingekuwa mahali salama.Kuna watu wanaabudu ng'ombe,chatu na vinginevyo katika hii dunia.Unachotakiwa ni kuwavumilia kwa sbb tofauti lazima ziwepo.Kuna watu wanaamini Allah na Jehova ni miungu ya kipagani na wana sababu.Waheshimiwe na wasilazimishwe vinginevyo.Na kuna watu wanaamini uislam ulitengenezwa na Vatican nao waheshimiwe .Mwisho wa siku imani zetu mbalimbali ziwe sababu ya Watu kuacha mabaya na kutenda mema.Imani bila matendo ni kazi bure.Uchambuzi wa vitabu bila matendo mema ni bure
Hao uliowataja waambie waje JF wachangie, tutawapa elimu kama tunayokupa wewe
 
Back
Top Bottom