Makomando wa Marekani waingia Somalia na kumuua mkuu wa magaidi wa IS

Kwa Nini unampinga Allah

Allah anasema
Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....

Yesu anasema
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
Yesu alipozungumza , ndiyo maneno ya Yesu? Hongera sana
 
"HUTAKI" kujibu nilichokuuliza ama "HUWEZI" kujibu nilichokuuliza?.
UNASAHU NILICHOKUULIZA AMA UNAJISAHAULISHA?.
NI JIBU NILICHOKUULIZA HUU UTOTO WA KUPOST MAPICHA PICHA SUBIRI WATOTO WENZIO SI MIMI.
Usikimbie swali
Huyo anayetupa taarifa Za Yesu hapo kwenye John 8:12 ndiye Yesu ?
 


WAPINZANI WA YESU / ANTI CHRIST

Bwana Yesu Kristo alitumwa na Mwenyezi Mungu alifundisha mafundisho mazuri. Lakini baadaye wahalifu wake (Anti Christ) walikuja ambao waliharibu mafundisho yake mazuri.

Ningependa kuwataja baadhi yao ambao wametenda kinyume cha vitendo na mafundisho yake. Kwa mfano:


PAULO NI MPINZANI WA YESU

Yesu alisema:

1. Katika njia ya Mataifa msiende. (Mathayo 10:5). Lakini Paulo akafundisha:

A. Nimekabidhiwa Injili ya wasiotahiriwa. (Wagalatia 2:7, maandishi ya Paulo).

B. Amewafungulia mataifa mlango wa imani. (Matendo ya Mitume 14:27).


2. Yesu alitahiriwa sku ya 8 (Luka 2:21). Yohana alitahiriwa siku ya 8 (Luka 1:59). Paulo alitahiriwa siku ya 8 (Wafilipi 3:5) Lakini yeye mwenyewe alipinga kutahiriwa (Wagalatia 5:2-6).

Yesu alisema:

3. Msidhani kuwa nalikuja kuitangua Torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. Kwa maana, amin, nawaambia, mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya Torati haitaondoka, hata yote yatimie. Basi mtu yeyote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atayezitenda na kuzifundisha , huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni. Maana nawaambia ya kwamba, Haki yenu isipozidi hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni. (Mathayo 5:17-20).

Lakini Paulo anasema: Sheria ni laana. (Wagalatia 2:16-21, 3:10-13). Warumi 7: yote).

4. Bwana Yesu alisema: Msichukuwe dhahabu, wala fedha, wala mapesa mifukoni mwenu: (Mathayo 10:9).

Hivyo Wakristo wale ambao wanakusanya mali ni Madajjali (AntiChrist).

5. Bwana Yesu alisema: Lakini mimi nawaambia msishindane na mtu mwovu; lakini mtu akupigaye shavu la kuume mgeuzie na la pili. Na mtu atakaye kukushitaki na kuitwaa kanzu yako, mwachie na joho pia. (Mathayo 5:39-40). Hivyo Wakristo wale ambao wanagombana ni Madajjal (Ant Christ).

6. Yesu pia alikataza kuitwa Kristo: Ndipo alipowakataza wanafunzi wake wasimwambie mtu yeyote kwamba yeye ndiye Kristo. (Mathayo 16:20). Hivyo Wakristo ambao wanatangaza kwamba Yesu ndiye Kristo ni Madajjal (Ant Christ).

7. Kwa maana nalikuja kumfitini mtu na babaye, na binti na mamaye, na mkwe na mkwe mtu. (Mathayo 10:35,
Luka 14:26, 12:51, 5:2)

Hivyo Wakristo ambao wanapenda amani wala hawatumii upanga ni Wapinzani wa Yesu (Anti Christ)
 
Wewe ni Jinni Mwislamu Popobawa.
Amri za Upendo za Yesu huzioni bali amri za chuki za Issa.

Ufalme wako usha fitinika. Na Jehanam ni mahali pako na Majini wenzako
 
Yesu alipozungumza , ndiyo maneno ya Yesu? Hongera sana
Allah alitaja sifa za mungu yeye Allah akajitoa akasema

Allah anasema
Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....

Yesu anasema
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
 
Wameenda kupewa zawadi yao ya mabikra 72
 
2. Yesu alitahiriwa sku ya 8 (Luka 2:21). Yohana alitahiriwa siku ya 8 (Luka 1:59). Paulo alitahiriwa siku ya 8 (Wafilipi 3:5) Lakini yeye mwenyewe alipinga kutahiriwa (Wagalatia 5:2-6

Hivi Muhammadi alitahiriwa lini na wapi?
Kama kweli ni uzao wa Ibrahimu ?

Mwanzo 17:10 Hili ndilo agano langu utakalolishika, kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, Kila mwanamume wa kwenu atatahiriwa.

Naomba Aya Mpinga Kristo muhammadi, au Gavana, wakitahiriwa. Kama alivyo agiza Mungu aliyeumba Mbingu na Nchi.
 
Wewe unaipinga hadi Qurani yako inayo sema Issa ni Masihi.

Surah Al-Im'ran: Ayah 45

إِذۡ قَالَتِ ٱلۡمَلَٰٓئِكَةُ يَٰمَرۡيَمُ إِنَّ ٱللَّهَ يُبَشِّرُكِ بِكَلِمَةٖ مِّنۡهُ ٱسۡمُهُ ٱلۡمَسِيحُ عِيسَى ٱبۡنُ مَرۡيَمَ وَجِيهٗا فِي ٱلدُّنۡيَا وَٱلۡأٓخِرَةِ وَمِنَ ٱلۡمُقَرَّبِينَ
Na pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria (mwana) kwa neno litokalo kwake. Jina lake ni Masihi Isa mwana wa Maryamu, mwenye hishima katika dunia na Akhera, na miongoni mwa walio karibishwa (kwa Mwenyezi Mungu).

Au leo kaka zako wa Kijini hawaja kuambia kuwa Masihi maana yake ni Kristo ?

Wewe Jini Maimuna, kwanini huwaulizi Majini wenzako maana ya Neno Kristo kuwa ni Masihi ?
 
Malizia dozi zako la utaruka Ukichaa hivi karibuni.
 
Ukija Zanzibar waulize Wazanzibari swali hilo watakuona Chizi kwani kila mwanamume ametahiriwa labda wavamiz wakristo. Ni jambo la kawaida na hivyo hivyo ukienda arabuni utakuta ni tradition ilikuwa hata wasio waislamu. Wakitahiri watoto .
 

Muulize mwenyewe Yesu anasema , Mathayo 16:20

20 NDIPO ALIPOWAKATAZA SANA WANAFUNZI WAKE WASIMWAMBIE MTU YE YOTE ya kwamba yeye ndiye Kristo”.
 
Allah alitaja sifa za mungu yeye Allah akajitoa akasema

Allah anasema
Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....

Yesu anasema
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.



Yesu anasema

John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.



Anayetoa hiyo taarifa ni Yesu ??
 

Unahakika hiyo Mwanzo 17:10 aliagiza Mungu ?? Unaweza kuniambia nani aliandika mwanzo ???


Most scholars don’t think Moses existed, let alone was the author.

Instead, it has been recognised by scholars since the 18th century that Genesis and the Pentateuch were composed from multiple sources.

The dominant model that most are familiar with today is Wellhausen’s Documentary Hypothesis (DH) from the late 19th century, which proposed four independent sources (J, E, D, and P) whose texts had been combined to form the Torah.

Today, the original DH has been largely abandoned in favour of newer models, although many of its fundamental principles are still widely accepted.
 
Wanawavizia siwatangaze vita kama kipindi kile, jamaa wawaonyeshe tena.
 
Anayetoa hiyo taarifa ni Yesu ??
Naona umestuka sana haukutegemea
Koran 3:135.....na nani anaye futa dhambi isipo kuwa Mwenyezi Mungu?........
Meth 9:2 Hapo watu walimletea mtu mmoja aliyepooza mwili, amelazwa juu ya kitanda. Yesu alipoona imani yao, akamwambia huyo mtu aliyepooza, “Jipe moyo mwanangu! Umesamehewa dhambi zako.” 3Baadhi ya waalimu wa sheria wakaanza kufikiri, “Mtu huyu anamkufuru Mungu!”
 
Hapo jambo liko wazi yesu kusema hivyo hakumaanisha yeye ndie kasemehe ona imani ya hao watu imewafanya wasamehewe dhambi zao yani hata bibilia yako uielewi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hapo jambo liko wazi yesu kusema hivyo hakumaanisha yeye ndie kasemehe ona imani ya hao watu imewafanya wasamehewe dhambi zao yani hata bibilia yako uielewi
Wewe ndio huielewi
Math 9:6Basi, nataka mjue kwamba Mwana wa Mtu anao uwezo duniani wa kuwasamehe watu dhambi.” Hapo akamwambia huyo mtu aliyepooza, “Inuka, chukua kitanda chako, uende nyumbani kwako.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…