Makomandoo wa Israel wavamia na kulipua mahandaki ya magaidi wa Hezbollah mpakani mwa Israel na Lebanon, uvamizi kamili muda wowote

Hivi kwa nini USA anaiunga mkono zaidi Israel kuliko Mataifa mengine?
Marekani ndivyo ilivyo.

Kwa washirika wake huwa inajitoa sana.

Unafikiri kwa nini mpaka sasa hivi China haijaivamia Taiwan? Ni kwa sababu wanajua wakiivamia Taiwan, itakuwa ni vita dhidi ya Marekani.

Kwa nini mpaka sasa Urusi haijaishinda Ukraine? Ni kwa sababu ya misaada ya Marekani.
 
Afghanistan msisaaau napita tu amani muimu kwasasa waisrael wanatisha tisha ili hezbollah wasijewavamia wao baada kifo cha Nasrallah, sio mbali kwasasa wanatafuta fursa kumaliza vita. Baada ya kuwauwa aniya na Nasrallah. Je upande wapili wapotayali kufikia usitishaji vita. Kazi ipo apo.
 
Urusi shida ni democrats tu.....Na Netanyahu alishaenda kuongea na mrusi ndo hii nguvu kwa magaidi ikaongezeka,,,,,anaingia Trump hapo hana interest na Ukraine vita huko inaisha na Russia ameshamega nchi ,huku Mrusi anamuachia Trump na Israel awanyooshe makobazi haingiliiii.......hii dunia hawa jamaa wanafata zaidi Interests zao kama mnaenda sawa bas kazi kwisha.......ndo maana Democrats wanahangaika kumuua Trump maana wao ndo waliokua na interests huko Ukraine ila hawakua na interest na Israel ndo maana hadi Netanyahu akamaind akaenda kuongea na mrusi......,,ona sasa game linavyokuja kubadilika

Walienda tu kama kuongelea maswala ya mateka ila baada ya hiki kikao Netanyahu akaongeza kasi
 
Rais wa Iran alikuwa PRO WEST na akawa anameza kama Pelican anayolishwa na West. Aliambiwa kutakuwa kuna kusimamisha Vita na wakawa wamempelekea Hasan Nasrullah taarifa. Yakashushwa mabomu 86 ya kilo2000.
Putin pia alilia kwamba Minsk Agreement waliyosaini na NATO haiheshimiwi kuhusu kupanua NATO kwenda EAST.
Mama wa German alicheka na kumwambia Putin, TULIKUDANGANYA 🙂
Ila sasa hivi hataki kusikia tena kitu kuhusu kusimamisha vita UKraine, yeye anaendelea kutishia kutumia SATAN II aka RS - 28Sarmat kwa nchi yoyote ya NATO yenye NUKE itakaposaidia Ukraine kushamblia Russia.
Juzi UK na USA walikuwa waweke sahihi kushambulia Russia kwa kutumia Silaha za kupiga ndani ya Russia ila wameacha hilo wazo kwa sasa. Wamemuogopa Putin au bado wanaMDANGANYA? Muda utaongea.

Iran wao Wajinga sana. Yaani Bonge la Kubwa Jinga. Yaani unadanganywa mara kibao na wewe upo tu.
Hata juzi hapo Beirut, kiongozi wa Hezbollah kafa na Mjeshi kutoka Iran, sijui ndiyo kawauza?
Mimi nisingeliwaamini Iran kwa sababu wanauawa kama KUKU na wao wapo tu.
Nafikiri Hezbollah hawatawaamini tena na watakata mawasiliano kama Palestina walivyofanya.

Bibi kapata muda wa kupumua hadi 2026 kwenye uchaguzi mpya.
Tusubiri sasa vita kati ya CHINA na USA kwa kupitia Taiwani.

Rais wa Iran akilia kama Mtoto anayeota MENO

Marekani wanajitayarisha kupeleka vikosi kwa kuhofia malipizo kutoka Iran.

Israel huwa anapewa ujiko asiostahili kabisa.

Ubabe wa Israel unatokana na Marekani. Period, end of sentence.


View: https://youtu.be/R6iIe6T_k20?si=FciUVz6Wko1FmUAF
 
Hivi kwa nini USA anaiunga mkono zaidi Israel kuliko Mataifa mengine?
Kwa sababu Israel anahitaji msaada

na kingine, kwa sehemu kubwa mashariki ya kati Israel ndio nchi inabaki kuwa mshirika wa kuaminika kwa US.

US inahitaji ushawishi eneo hilo, Israel ni jicho la US kwa ME, Israel ni kambi kubwa ya kijeshi kwa ME, Israel ni mahala pa ki stratejia kwa US

US inaweza kuishambulia nchi yeyote ME kupitia Israel ikiwemo Iran.. na hata Yemen...

US haitokubali kuipoteza Israel kwa manufaa ya kiuchumi, kijeshi, ki stratejia n.k...

From what i think lakini....

Habari za Israel imebarikiwa akili,utakatifu na tech kubwa ni uongo, Israel haifikii nusu ya robo ya tech iliyopo US
 
Trump anataka kupigana na Mchina,
USA haitaweza kupigana Vita ya Middle East na Israel, RUssia na China kwa mpigo.
Trump anataka vita mbili ziishe na abaki na Mchina peke yake.

USA asipofilisika, Wachina na Waarabu watakiona cha Mtema Kuni.

 
Netanyahu wants all the smoke 🤣.

Hizo zote ni ziada muhimu kujua Wanasayansi wengi wa Marekani ni Waisrael
 
Trump anataka kupigana na Mchina,
USA haitaweza kupigana Vita ya Middle East na Israel, RUssia na China kwa mpigo.
Trump anataka vita mbili ziishe na abaki na Mchina peke yake.

USA asipofilisika, Wachina na Waarabu watakiona cha Mtema Kuni.
Trump hawezi akapigana na Mchina watatoleana tu maneno katikati yao refa ni mrusi......Mchina kaamua kufocus zaidi na Africa hio Taiwan hata akipigana vita faida yake sio kubwa kama akiwekeza zaidi Africa ,,,,,,,ila mwarabu katolewa kafara wazungu sio wa kuwaamini,,,,,makobazi walijua mrusi au china wataingilia ila jamaa wamebaki kuzuga tu kutoa makalipio huku kobazi wakichezea kipondo.......Mchina sahv anajiweka sawa na Mhindi wamalize ile ishu yao ya mpaka jamaa nguvu nyingi wanaipeleka BRICS na huko ndo China anaona kuna muelekeo wa yeye kua superpower,,,,Taiwan alitaka kupigana sababu ya teknolojia ya kutengeneza chip za simu na vifaa vingine vya kielektronic ila hadi sasa ameshapata njia zake na ndo maana huawei imefufuka tena,,,kwahio interest ya China kuingia vitani na Taiwan imepungua kabisa Mchina kwa sasa anafocus kua superpower na sio kupigania kakisiwa ambacho impact yake kwa sasa ni ndogo
 
USA anasaidia Israel kwa sababu Israel au Wayahudi ndiyo wanaitawala USA,
Netanyahu hadi anakuja na nguo chafu ili zifuliwe White House .
Wayahudi wameishika Serikali yote ya USA na hakuna wa kufurukuta.
Wanahangaika tu kumlamba Miguu ili wapewe fedha za kampeni washinde Uchaguzi.
Hebu fikiria kwenye kampeni ya Urais, Trump anakuja na Bendera Ya Israel.
Na bado Wayahudi hawamtaki, wanamtaka Kamala 🙂


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…