Makomandoo wa Israel wavamia na kulipua mahandaki ya magaidi wa Hezbollah mpakani mwa Israel na Lebanon, uvamizi kamili muda wowote

Bila bajeti hakuna cha art wala science of war.

Bajeti ndo kila kitu.
Bajeti Kubwa bila ya "art of war (strategies)" ni Kazi bure.
Una mapesa mengi hujui kupigana, huna mikakati kabambe ya kumshinda adui, huna mbinu za kumshinda adui.... Watakupiga tu, hamna namna.
 
Teknolojia za vita Marekani inategemea waisrael

Hizo zingine ni wengineo

Bila Israel Marekani kivita hamna kitu
 
Nikiongezea hapo afahamu pia na zionism ni kitu gani...

Kuna jews wanapinga zionism...

Zionism ndio hizo movements za jews wakidai kurudi kwenye nchi yao ya ahadi zilizoanza karne ya 19...
 
Kwa hiyo Israel na intelijensia yote hiyo ya kuweza kumuua gaidi Nasrallah shimoni asijue eti wewe unayechoma mahindi hapo Tabata Relini ndio ujue..🤣🤣🤣
 
Nikiongezea hapo afahamu pia na zionism ni kitu gani...

Kuna jews wanapinga zionism...

Zionism ndio hizo movements za jews wakidai kurudi kwenye nchi yao ya ahadi zilizoanza karne ya 19...
Wapinga zionism ni wayahudi ambao mama zao sio wayahudi ila baba zao wayahudi

Wayahudi kuwa myahudi original lazima mama awe myahudi asilimia 100

Sasa kuna hiyo midume ya kiyahudi ambayo ni miyahudi mia kwa mia kwa Mama zao ikazaa na akina mama wazaramo na wandengereko nk hiyo mitoto waliyozaa huko nje ndio hupinga zionism
 
Mkuu kuna sehemu niliandika wazo sawa na wewe...
Nimeingia social medias za Iran huko naona wanamlaumu rais wao, wengine wakisema yeye ndiye chanzo cha Nasrallah kufariki.
Yeye anachojaribu kukifanya maraisi wenzake walio pita walisha jaribu na wakafeli vibaya sana.
Kama rais Hassan Rohan alifikia hatua ya kukubali kusimamisha mpango wake wa nyukilia na wakaingia makubaliano mwaka 2015 lakini badae waka mgeuka na kujiondoa kwenye mkataba na kuiwekekea Iran vikwazo vikali sana yeye ana lipi jipya atakalo wafanyia hao wamagharibi ili waridhike?
Alimshauri Ayatullah kutoishambuli Israel baada ya kuuwa Haniyha na Ayatullah akamkubalia kwa sababu hakutaka kuonekana kama amempuuza matokeo yake ndo haya.
Akiendelea na hii misimamo yake itamfanya haanze kutiliwa mashaka kitu ambacho kinaweza kumletea hatima mbaya sana.
 
Kwa hiyo ni uongo kwamba George Soros hayupo? Blackrock, Vanguard na AIPAC havipo?
German, France, UK nk, viongozi wamewekwa na Soros.
Ila hii inaanza kubadilika kwa Viongozi ambao ni PRO Putin kama Hungury kuingia madarakani EU.

Nkoi, hapa tunakwenda kwa DATA, bila sisi kuweka maneno:


Hadi sasa wale Democrat wanaopingana na AIPAC, wameanzisha kitu kinaitwa J STREET. Ila ukiangalia wanachofanya na maneno ya Democrat, unajua lao moja.
Majamaa yana AKILI sana na yana UTAJIRI wa kutisha.
Siyo vitu vya kusimuliwa ila nimeona UTAJIRI wa kutisha wa Wayahudi ingawa sijafika USA.
Mtu pekee wa kuwatisha kwa sasa kiuchumi ni Mchina peke yake.

Uongo.

Marekani haitawaliwi na Wayahudi.

Watu mnapenda sana hizi stori za Wayahudi na kuwafanya waonekane kama kwamba wao ni species tofauti kabisa na sisi wengine.

Marekani haitawaliwi na Wayahudi. Acheni uongo wenu bana.
 
Nenda kwenye tovuti ya BBC utafute makala moja inayo sema hivi:Nini chanzo cha urafiki kati ya Marekani na Israel uisome ndo utajua mambo mengi sana na kuacha kujilisha upepo.
Israel ipo hapo mashariki ya kati kwa ajili ya kulinda masilahi ya Marekani na Uingereza kwenye eneo hilo.
Waliona wawapandikize wayahudi pale kwa sababu waliona waarabu hawatabiliki na hawaamiki kuwafanya washirika wa kuaminika.
Ukitaka kujua kuwa Israel ni takataka ithubutu kwenda kinyume na masilahi ya Marekani uone.
 
Marekani ina watu zaidi ya milioni 330. George Soros ni mtu mmoja.

Huyo Soros ana control kitu gani Marekani?

Ni ujuha kuamini katika conspiracy theories.

Hao Blackrock na Vanguard ndo nini? Ndo wanaidhibiti Marekani nzima?

Kama wanaidhibiti Marekani nzima mbona hawajawahi kuwa na Rais Myahudi?

Stori za vijiweni tu kuwapa kila sifa na kila lawama hao Wayahudi.
 
Nani anawaamini hao watu siku hizi? Pia mambo ya Historia achana nayo.
Mchina wa mwaka 1970 na leo ni vitu viwili tofauti.

Yaweza kweli kuwa Mwanzo Israel alikuwa MLINZI wa USA miaka hiyo ila Wayahudi wamepiga kazi na kufanya Biashara sana na hadi wamekuwa Matajiri wakubwa na KUZINUNUA Nchi za WEST.
 
Teknolojia za vita Marekani inategemea waisrael

Hizo zingine ni wengineo

Bila Israel Marekani kivita hamna kitu
Wataje sasa hao wanasayansi wa kiyahudi wanao tegemewa na Marekani tuwaone.
Mpaka vita ya pili ya dunia wayahudi walikuwa waishi kama vibaka wanakimbizwa na kuuawa wakati huo Marekani ndo alikuwa masambazaji mkuu wa silaha zilizo saidia kuishinda Ujerumani na kuwakomboa hao wayahudi yalio kuwa wamerundikwa kwenye makambi ya mateso wakisibili kuawa na Hitra.

Huna akili Israel imeundwa na mwaka 1947 wakati Marekani imekuwa taifa kubwa kiteknolojia tangu miaka ya 1880.
Hata hako kataifa kao si kameanzishwa kwa hisani ya Marekani na Uingereza?
 
Bajeti Kubwa bila ya "art of war (strategies)" ni Kazi bure.
Una mapesa mengi hujui kupigana, huna mikakati kabambe ya kumshinda adui, huna mbinu za kumshinda adui.... Watakupiga tu, hamna namna.
Ukiwa na bajeti kubwa utaweza pia kupata the best strategists.

Ukiwa na bajeti kubwa utaweza kuwa na majasusi walio bora.

Ukiwa na bajeti kubwa utaweza ku fund research and development ya silaha bora za kisasa.

Ukiwa na bajeti kubwa utaweza kuendesha vita bila kuleta athari kubwa kwenye uchumi wako.

Ukiwa na bajeti kubwa utaweza kuiinua morali ya wapiganaji wako.

Ukiwa na bajeti kubwa utaweza kuunda aircraft carriers nyingi.

China ina aircraft carriers ngapi?

Marekani ina uwezo wa kupigana vita na China ndani ya China ilhali China haiwezi kupigana vita ndani ya Marekani dhidi ya Marekani.

Marekani kwa kutumia aircraft carriers zake ina uwezo wa kupigana vita kila pembe ya dunia hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…