Makomandoo wa Israel wavamia na kulipua mahandaki ya magaidi wa Hezbollah mpakani mwa Israel na Lebanon, uvamizi kamili muda wowote

Mkuu pale us raisi sio Mungu atak3 asitake US itasimama bega kwa bega na israel. Kubali kataa. Raisi anaweza pingwa kwa kura bungen mchana kweupe. Sio huku kwetu
 
Usihame kwenye mada, umesema US bila msaada wa Israel haiwezi vita, hapa unabadilika na kusema jews kutengeneza atomic bomb...
Baada ya kukubana kwamba hata US inamaliza vita 1945, Israel haikuwepo au ilikuwa si kitu ..

Haya twende sawa, aliyetengeneza myahudi, unajua ndege iliyobeba ambayo ilikua ni bomber b29?

B29 ilikuwa ni boeing, Boeing company ilianzishwa na William Boeing ambaye kiasili ni mjerumani...

Haya nielezee Boeing isinge kuwepo hilo atomic nani angelibeba kuipiga Hiroshima?
 
Hebu tuwekee hapa specifics.

Weka specific contribution za huyo Oppenheimer peke yake bila hao wengine.

Mfano, unaweza kusema yeye Oppenheimer aliandika formula hii na hii na akachora mchoro huu na ule.

Haya kazi kwako. Weka specifics hapa tuzijadili.
 
Steve Jobs anapewa sifa lakini alikuwa hata hakamati electronics, waliokuwa wana deal na electronics kuna engineers ambao wana ujuzi na electronics.

Elon Musk anapewa sifa lakini kuna engineers na scientists ambao ni vichwa wanafahamu rocket science n.k...

Umeelewa mzee
 
Uko ulimwengu gani wewe

Waneshaua kiongozi mkuu wa Hezbollah na makamu wake

Hezbollah wakachagua mwingine wakaua naye hufuatilii vyombo vya habari hata hunu jamii forums? Waue mara ngapi?
Hizbullah hawajachagua kiongozi bado,siyo mnabeba tu kila habari mtandaoni
 
Bora Israili wana utu, wangekuwa Russia vitani wangekuja na nguruwe kuwasaka hao jamaa, yaani nguruwe anapewa mafunzo ya mbwa
 
Kubaki kwa Assad Pale syria ni kazi tukuka ya Urusi na wala si mwingine yeyote
 
Mbaya zaidi hao wayahudi wamejaa Morocco,misri mpaka ndani ya Iran lakini mbona wajawahi kuzifanya hizo nchi kuwa kama Marekani
 
Exactly! Unsung heroes wapo wengi sana….

Na hao ndo vipanga wenyewe sasa.

Halafu mtu ungeweza kudhani Steve Jobs na Elon Musk ni Wayahudi, kwa mafanikio waliyoyapata.

Kumbe wapi!
 
Mbaya zaidi hao wayahudi wamejaa Morocco,misri mpaka ndani ya Iran lakini mbona wajawahi kuzifanya hizo nchi kuwa kama Marekani
Kuhusu Marekani….waasisi wa Marekani ni wazungu wenye asili ya Uingereza.

Mpaka leo sehemu ambazo hao waasisi wa Marekani walipotokea, zipo huko Uingereza.

Kuanzia George Washington mpaka Abraham Lincoln…..wote hao Waingereza.

Hao ndo waliasisi taifa kubwa na tajiri kushinda mataifa yote.

Wayahudi walishindwa kuasisi taifa lao kubwa kama Marekani?
 
🏴‍☠️⚡️ Israeli media: The mayor of Metula is calling its residents, urging them to evacuate immediately.

🚩 @ResistanceTrench
 
Walikuwa bado kiteknolojia hawajajipanga toka holocaust wakaapa

Kuwa hilo haliji jirudia tena
 
Nimeuliza swali: Hitler aliwakaanga kama kumbikumbi hao Wayahudi. Kwa nini hawakutumia akili zao nyingi kumgeuzia kibao na kumkaanga yeye kabla ya yeye kuwakaanga wao?
Hata hivi sasa, US isitishe misaada ya kijeshi, pesa na intel, waachwe wapambane na hao arabs kama hawajaanza kukaangwa tena kwenye makambi kama wakati wa Hitler...
 
Hata Israel ipo overrated.

Bila Marekani, Israel hamna kitu.
aila naona battle zake mmarekani huwaga ana struggle sana hazijanyooka kama myahudi mpaka sometimes namuonaga na yeye kama yuko overrated sana
 
Mkuu pale us raisi sio Mungu atak3 asitake US itasimama bega kwa bega na israel. Kubali kataa. Raisi anaweza pingwa kwa kura bungen mchana kweupe. Sio huku kwetu
Democrats wameshatengeneza bifu na Israel na hapo ndo Trump anapopitia

Hio ni message kwamba aidha mkubali au mkatae tutafanya tunachotaka kufanya
 
Exactly! Unsung heroes wapo wengi sana….

Na hao ndo vipanga wenyewe sasa.

Halafu mtu ungeweza kudhani Steve Jobs na Elon Musk ni Wayahudi, kwa mafanikio waliyoyapata.

Kumbe wapi!
Tusingekaa humu...
Musk hata baba yake na babu yake angekuwa myahudi... Ungesikia hapa wayahudi ndio wanamiliki na ugunduzi wa satellite za starlink, twitter na magari ya umeme...

Myahudi ndio billionare wa dunia...

Wakati Musk huyo hapo katoka South Africa..
 
Walikuwa bado kiteknolojia hawajajipanga toka holocaust wakaapa

Kuwa hilo haliji jirudia tena
Watu weusi wana msaada mkubwa US kuliko hata hao jews...

Watu weusi wamefanya sana kazi mashamba ya pamba, viwanda, ujenzi wa njia za uchukuzi n.k

Walichangia uchumi wa US kukua sana...

Acheni ku overrate jews....

Mnashindwa kutambua mchango mkubwa wa weusi mnadanganywa jews..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…