Makomandoo wa JWTZ wawa kivutio ktk Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar


Inteligence ni idara inayojitegemea kwenye Jeshi.Usiyoyajuaa utashindwa kuelewa! Inteligence hutumiwa na komandoo kufanya vitu vyao.Inteligence ni fani inayojitegemea na wanaoijua barabara wengi si makomandoo!!Polisi wa upelelezi si lazima awe ndiye atakaye shika jambazi sugu.Kuna vikosi vya kupambana na majambazi sugu wanaotumia inteligence iliyokusanywa na askari wa upelelezi!

Usichanganye vitu unavyoangalia kwenye sinema na mambo ya majeshi.
 
Jumong una chembechembe za uoga wewe,wewe utatishwaje na dume mwenzio bana! angalia usije ukaachia uharo apo ulipo.
Kaka unaweza kuta unaongea na komandoo mwenyewe!


Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Hawa ni askari wetu!nikikosi maalum ndani ya jeshi letu...na kazi ya kutukuka walioenda kuifanya ni kulitokomeza kundi la M23 huko congo.na sio kama hawapati dhoruba wakiwa kwenye medani ya vita la hasha kwenye operation huko congo tuliwapoteza vijana wetu kadhaa wa "red berret"
 
Kaka we unataka waoneshe kila kitu mpaka zoezi la ubongo? Tofautisha kati ya maonesho na real situation. Hao makomando wanastandard za juu sana, you have to know that hawapewi hiyo rank mpaka wamekidhi vigezo vya dunia!


Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Comando lazima awe fit on both angles...mental and physical intelligence.so hawa wa kwetu wameamua kuonyesha one side tu. Big up to them
 

Hapa Nicholaus panamuhusu sana!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Sasa kuna jamaa wanataka waje na missiles, jet fighters, grenades, Minimi, Uzi, M16, AK 47, drones n.k zijaribishiwe pale uwanjani. Nani atabaki? Wakawaulize wale wa Mbagala waujue mziki wake! Penye heshima tuwaheshimu bana, hawa ndo wanaleta heshima ya TZ.


Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Hata USA kuna makomandoo wa SEAL nk lakini mbona hawakumkamata Snowden alipotoroka na nyaraka za siri? Kila taasisi na kazi yake mkuu.
[Q UOTE=Mkoroshokigoli;8377307]hawa makomandoo,walishindwaje kudhibit twiga wasiondoke????hawa makomandoo hawakujua kama ndege ya jesh ilitua KIA???hawa makomandoo walishindwa kusimamia ulinz wa Obama,mpaka wamarekan wakasimamia show ya ulinzi wao?hawa makomandoo hawawez kusimamia ujangili????[/QUOTE]
 
Makomandooo wetu walikuwa fit sana

Ila walifunikwa na Askari wa mkoloni yaani nilichekaa hadi machozi yakado. ndoka

Ha ha haaaa, wale askari wa mkoloni noma! Walikuwa vizuri sana na lilikuwa bonge la burudani. Gwaride lao lilikuwa murua!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 

Kuonyesha jinsi wasivyojali ubongo ni kufichua mengi sana...
 

kweli wewe punga...
 
kuna watu wanawabeza wakati hata mgambo hawajapitia.!!
 
kuna watu wanawabeza wakati hata mgambo hawajapitia.

Tatizo letu ni kujifanya tunajua kila kitu wakati sivyo.

Tujaribu kuheshimu taaluma za watu.....M23 hawakupigwa kwa bahati mbaya ni sehemu ya uwezo JWTZ.

Tuache kufaninisha move za akina Rambo na hali halisi.
 

Samahani Mkuu, wewe ni mwanamke?
 
Kaka unaweza kuta unaongea na komandoo mwenyewe!

.
Nilichokuwa nakiona ni macho yangu au vip....
Kuna maonesho ya WAHITIMU WA JWTZ
.
niliona wakivunja NAZI kwa mikono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…