Makomandoo wa JWTZ wawa kivutio ktk Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Kuna kitu sikuelewa pale,, wale walikuw makomandoo au wale mabaunsa wao wanaong' oaga watu kucha, memo, na macho???? Kama vile wamekuja kuwakisha kina CC

Bro acha masikhara na kazi za watu, hizo kashfa unaweza kuzithibitisha? Jiheshimu kidogo basi
 
[/QUOTE]

Shule za kata zimeleta majanga tz
 
[/QUOTE]

Mkuu hebu tumia vizuri ubongo wako, hivi wewe ni mgeni wa hii nchi? Kwa hujui kuwa Ma deal yote yanayofanyika hapa ni ya wakubwa,(ikiwemo hao Twiga na tembo) wanajeshi (wakiwamo makomandoo) huwa hawajiendei ila wanatumwa mahali maalum panapokuwa na jukumu, a sasa kama anayewaagiza ndiyo huyo huyo hao tunayemtuhumu? Unategemea awapeleke makomandoo wakazibe dili zake wakati ndiyo biashara zao? (Kumbuka hawa hawanaga ujinga wakipewa jukumu) Majuzi tu si ni sisi, sisi watanzania juzi hapa tulikuwa tunashamgilia kusitishwa kwa operesheni ya kuzuia ujangili ya tokomeza kwa tuhuma za kutunga za wanawake kubakwa wakati hata waziri mhusika amekanusha kuwa hakuna mtu aliyebakwa? Operesheni imesitishwa na tembo wanakufa, je unafikiri kusitishwa huko ni kwa bahati mbaya? #Kinana
 
Na ndio maana naipenda nchi yangu Tanzania, Nipo nikijua tu kuwa nalindwa na watu wenye uwezo mkubwa sana katika dunia ya sasa.
 
Kwanini hawakujaribu risasi kifuani alafu risasi idunde?! Au wapo tayari kwa vita vya matofari na mipini!? Yaani vita na Raia.
 
Mkuu ume quote quote mbili kwa pamoja,mimi nilikua pia namjibu huyo unayemjibu wewe!.Na siko mbali na wewe.

Mkuu hebu tumia vizuri ubongo wako, hivi wewe ni mgeni wa hii nchi? Kwa hujui kuwa Ma deal yote yanayofanyika hapa ni ya wakubwa,(ikiwemo hao Twiga na tembo) wanajeshi (wakiwamo makomandoo) huwa hawajiendei ila wanatumwa mahali maalum panapokuwa na jukumu, a sasa kama anayewaagiza ndiyo huyo huyo hao tunayemtuhumu? Unategemea awapeleke makomandoo wakazibe dili zake wakati ndiyo biashara zao? (Kumbuka hawa hawanaga ujinga wakipewa jukumu) Majuzi tu si ni sisi, sisi watanzania juzi hapa tulikuwa tunashamgilia kusitishwa kwa operesheni ya kuzuia ujangili ya tokomeza kwa tuhuma za kutunga za wanawake kubakwa wakati hata waziri mhusika amekanusha kuwa hakuna mtu aliyebakwa? Operesheni imesitishwa na tembo wanakufa, je unafikiri kusitishwa huko ni kwa bahati mbaya? #Kinana[/QUOTE]
 
hata mimi nimewapenda ni kweli wamekaa kikomandoo umejazia mbaya na wanaonekana ni wakakamavu. Utafikiri ni kwenye movi tanzania tunatisha kwenye nimeamini tunaweza kumchakaza kagame.

utamshinda kagame kwa kupasua tofali?
 

Shule za kata zimeleta majanga tz[/QUOTE]

hahahahaha kweli mkuu zimeleta majanga,jamaa hajui kabisa mgawanyo wa kazi,kazi za TISS anadhani ni za commando.
 
Shule za kata zimeleta majanga tz

hahahahaha kweli mkuu zimeleta majanga,jamaa hajui kabisa mgawanyo wa kazi,kazi za TISS anadhani ni za commando.[/QUOTE]
Movies zinatuharibu! Mtu akimuona Jack anavyopambana bas anajua huyo ni komando!


Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…