Makombe yajayo ya EPL bado yapo mikononi mwa Guardiola

kama Liverpool ndio wasahau kabisa ubingwa msimu huu wa 2019/2020
 
Huzuni kwa mashabiki wa Liverpool na Arsenal
 
Heshima kwako mkuu

Aisee kama Pep anasajili msimu huu haa Kombe liko mkononi kwake yule jamaa habahatishagi nadhani unaukumbuka msimu aliochukua EPL yake ya kwanza
 
Lampard bado mtoto mdogo sana kwa Pep

Club yangu ya Scousers majanga ni kuutanguliza uzawa ila coaching,Technical stuff its way forward
 
Heshima kwako mkuu

Aisee kama Pep anasajili msimu huu haa Kombe liko mkononi kwake yule jamaa habahatishagi nadhani unaukumbuka msimu aliochukua EPL yake ya kwanza
makombe yote yajayo ni yake
 
Asanate mkuu
Tumekusikia
 
Liverpool akipata matokeo dhidi ya Manchester United hapo Jumapili kinaweza kujitokeza kile kilichotokea kombe la may 2019

Hapo chini ni Pep akiwa kamweka Kelvin DeBruyne kama deceptive number 9 striker dhidi ya Brighton hapo Jana


Kombe hili pia narudia kama title ya hii thread kuwa makombe ya EPL yapo bado chini ya huyu mwamba Pep Guardiola kipindi ambacho mwamba huyu bado anafanya kazi EPL
 
Unaona mbali sana. Sisi city tunachukua epl
 
Kwahiyo jana Pep kanyanyua EPL ya nne katika msimu wake wa tano na next season ana yule dogo kutoka Dortmund by the way ngoja tusubiri msimu ujao tuone nini kitakachotokea considering next season we have number of competitive, experienced and New Managers in EPL and in town we have new oil team.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…