SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Kichwa changu kinagoma kuclick kuwa EPL inaenda Anfield
Bado kichwa chako kinagoma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichwa changu kinagoma kuclick kuwa EPL inaenda Anfield
kama Liverpool ndio wasahau kabisa ubingwa msimu huu wa 2019/2020EPL zijazo bado zipo mkononi kwa Guardiola, ongezea na Guardiola ndio anaefanya usajili mzuri kuliko yeyote pale Uingereza
Huzuni na masikitiko na pengine vilio kwa washabiki wa Club za Arsenal na Liverpool ambao ni kama wana gundu na taji hilo la Uingereza
Huzuni kwa mashabiki wa Liverpool na ArsenalEPL zijazo bado zipo mkononi kwa Guardiola, ongezea na Guardiola ndio anaefanya usajili mzuri kuliko yeyote pale Uingereza
Huzuni na masikitiko na pengine vilio kwa washabiki wa Club za Arsenal na Liverpool ambao ni kama wana gundu na taji hilo la Uingereza
Atabeba FALampard bado mtoto mdogo sana kwa Pep
Club yangu ya Scousers majanga ni kuutanguliza uzawa ila coaching,Technical stuff its way forward
Hata mbuyu ulianza kama mchichaLampard bado mtoto mdogo sana kwa Pep
Club yangu ya Scousers majanga ni kuutanguliza uzawa ila coaching,Technical stuff its way forward
ManCity atafikisha 120 points msimu huu
90Hadi sasa anazo ngapi?
makombe yote yajayo ni yakeHeshima kwako mkuu
Aisee kama Pep anasajili msimu huu haa Kombe liko mkononi kwake yule jamaa habahatishagi nadhani unaukumbuka msimu aliochukua EPL yake ya kwanza
Asanate mkuuEPL zijazo bado zipo mkononi kwa Guardiola, ongezea na Guardiola ndio anaefanya usajili mzuri kuliko yeyote pale Uingereza
Huzuni na masikitiko na pengine vilio kwa washabiki wa Club za Arsenal na Liverpool ambao ni kama wana gundu na taji hilo la Uingereza
Unaona mbali sana. Sisi city tunachukua eplLiverpool akipata matokeo dhidi ya Manchester United hapo Jumapili kinaweza kujitokeza kile kilichotokea kombe la may 2019
Hapo chini ni Pep akiwa kamweka Kelvin DeBruyne kama deceptive number 9 striker dhidi ya Brighton hapo Jana
Kombe hili pia narudia kama title ya hii thread kuwa makombe ya EPL yapo bado chini ya huyu mwamba Pep Guardiola kipindi ambacho mwamba huyu bado anafanya kazi EPLView attachment 1677684