SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Mkuu bado kichwa kinagoma?Kichwa changu kinagoma kuclick kuwa EPL inaenda Anfield
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu bado kichwa kinagoma?Kichwa changu kinagoma kuclick kuwa EPL inaenda Anfield
Tumekusikia mkuuKama sikosei huyu Pep ana miaka si chini ya mitatu kwenye mkataba uliopo sasa kwa jinsi timu za EPL zinavyoperform na zilivyoperform misimu miwili iliyopita wakati Pep anachukua ubingwa mfululizo ni wazi kwamba mataji yajayo ya EPL yapo mkononi mwa Pep
Kwa hali ilivyo sasa katika EPL ni kwamba Club ama kocha wa Club anae/inayochukulia Sare/draw kama matokeo basi wasahau/asahau kabisa ubingwa wa EPL wakati wote ambao Guardiola yupo Man City kama kocha
Club ambayo inataka kweli kuchukua Ubingwa inatakiwa kupambana kushinda tu, ikiweka kichwani kuwa matokeo ya Sare sio matokeo ya kupata kwa anaetaka ubingwa
Niaje nivipi mbona haurudi?Kama sikosei huyu Pep ana miaka si chini ya mitatu kwenye mkataba uliopo sasa kwa jinsi timu za EPL zinavyoperform na zilivyoperform misimu miwili iliyopita wakati Pep anachukua ubingwa mfululizo ni wazi kwamba mataji yajayo ya EPL yapo mkononi mwa Pep
Kwa hali ilivyo sasa katika EPL ni kwamba Club ama kocha wa Club anae/inayochukulia Sare/draw kama matokeo basi wasahau/asahau kabisa ubingwa wa EPL wakati wote ambao Guardiola yupo Man City kama kocha
Club ambayo inataka kweli kuchukua Ubingwa inatakiwa kupambana kushinda tu, ikiweka kichwani kuwa matokeo ya Sare sio matokeo ya kupata kwa anaetaka ubingwa
Atarudi tu
SpursKama sikosei huyu Pep ana miaka si chini ya mitatu kwenye mkataba uliopo sasa kwa jinsi timu za EPL zinavyoperform na zilivyoperform misimu miwili iliyopita wakati Pep anachukua ubingwa mfululizo ni wazi kwamba mataji yajayo ya EPL yapo mkononi mwa Pep
Kwa hali ilivyo sasa katika EPL ni kwamba Club ama kocha wa Club anae/inayochukulia Sare/draw kama matokeo basi wasahau/asahau kabisa ubingwa wa EPL wakati wote ambao Guardiola yupo Man City kama kocha
Club ambayo inataka kweli kuchukua Ubingwa inatakiwa kupambana kushinda tu, ikiweka kichwani kuwa matokeo ya Sare sio matokeo ya kupata kwa anaetaka ubingwa
Give credit where it’s due! Liverpool ndio timu bora kwa sasa
EPL zijazo bado zipo mkononi kwa Guardiola, ongezea na Guardiola ndio anaefanya usajili mzuri kuliko yeyote pale Uingereza
Huzuni na masikitiko na pengine vilio kwa washabiki wa Club za Arsenal na Liverpool ambao ni kama wana gundu na taji hilo la Uingereza
Ukweli mtupu
HaliendiKichwa changu kinagoma kuclick kuwa EPL inaenda Anfield
Ww bado hujui mpiraGo Pep
Siujui naomba nifundisheWw bado hujui mpira
Sasa hivi umeona city wanavyopigwa hovyo hovyo?Kama sikosei huyu Pep ana miaka si chini ya mitatu kwenye mkataba uliopo sasa kwa jinsi timu za EPL zinavyoperform na zilivyoperform misimu miwili iliyopita wakati Pep anachukua ubingwa mfululizo ni wazi kwamba mataji yajayo ya EPL yapo mkononi mwa Pep