.hii imemshtukia hadi usa mwenyewe maana kwa strike ya juzi .ndo ilekezwe kwenye yale macarier ya trillion 25. Plus F35 ,F16 juu yake kumamae hasara ingekuwa kama 200trill in one strike na dunia ingesimama. Kabisa kwa soma hili la kulpiga target kwenye zaidi ya 2000km usa wafikirie tena kuhusu yale macarrier yakeIna maana israel angekuwa peke yake tungesahau kuhusi taifa la Israel
Mikwala mingi kumbe wachumba tu