.hii imemshtukia hadi usa mwenyewe maana kwa strike ya juzi .ndo ilekezwe kwenye yale macarier ya trillion 25. Plus F35 ,F16 juu yake kumamae hasara ingekuwa kama 200trill in one strike na dunia ingesimama. Kabisa kwa soma hili la kulpiga target kwenye zaidi ya 2000km usa wafikirie tena kuhusu yale macarrier yakeIna maana israel angekuwa peke yake tungesahau kuhusi taifa la Israel
Mikwala mingi kumbe wachumba tu

Mbona video haioneshi hizo demages?licha ya ndege zisizo na rubani za Iran yaani drones kudunguliwa kabla ya kulenga shabaha imegundulika idadi kubwa ya makombora ya masafa marefu ya Hypersonic ya Iran yameteketeza vibaya kambi kadhaa za kijeshi nchini Israel
View attachment 2965501
Mbona inatumika nguvu kubwa kuonesha hakuna demages?Mbona video haioneshi hizo demages?
Maneno matupu hayavunji mfupa! Kama wanatumia nguvu kubwa kuonesha hakuna damage wewe weka ushahidi kuonesha Kuna damage kubwa! Mbona simple tuMbona inatumika nguvu kubwa kuonesha hakuna demages?
Huku miungu wa Israeli (Uingereza na Marekani) wakiiomba Israeli isilipize?
Huyo Israeli mwenyewe akiomba Iran awekewe vikwazo zaidi hasa upande wa uundaji makombora, halafu hakuna madhara yaliyotokea!!!
Inahitajika akili za ki zumaridi kuamini hivyo
Hawa askari waliozeeka hawa watampiga nani! kwani hamuoni kwamba hawa ni vikongwe watupu?Na bado wairan wanapiga matizi makali kama hayo lazima mazayuni wakae
View attachment 2965522View attachment 2965522
Mbona inatumika nguvu kubwa kuonyesha Iran amefanikiwa kuiharibu Israel!!??Mbona inatumika nguvu kubwa kuonesha hakuna demages?
Huku miungu wa Israeli (Uingereza na Marekani) wakiiomba Israeli isilipize?
Huyo Israeli mwenyewe akiomba Iran awekewe vikwazo zaidi hasa upande wa uundaji makombora, halafu hakuna madhara yaliyotokea!!!
Inahitajika akili za ki zumaridi kuamini hivyo
Noamba nilewieshe ni vikwazo gani vip atavyopewa iran maana nachojua mimi hiyo nchi inayovikwazo lukuki na baada wanaendesha mambo yao taratibuMbona inatumika nguvu kubwa kuonesha hakuna demages?