dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,847
- 61,886
Israel imewatahadharisha wananchi wake waishio kusini, juu ya hatari ya makombora kadhaa ya balistiki yaliyokatisha angani kuelekea jiji la Aqaba, nchini Jordan
Ving'ora vya kuashiria hatari vililia miji kadhaa ya kusini mwa Israel ikiwemo Eliat, na wananchi wote kuamrishwa waingie kwenye mahandaki mpaka hali ya usalama itakapokuwa vyema
Makombora hayo yakiwa yanaelekea nchini Jordan kufanya mashambulizi kwenye kambi kadhaa za Marekani pamoja na mahoteli yanayohudumia wanajeshi wa kimarekani nchini Jordan
Video ikionesha mlipuko kwenye kambi ya marekani iliyopo mpakani mwa Israel na Jordan
=============================================================================