Makombora ya Iran yametua Israel bila kipingamizi cha mitambo ya Iron Dome. Je, Israel imefanya makusudi ili ipate backup nzito ya Kuitindua Iran?

Makombora ya Iran yametua Israel bila kipingamizi cha mitambo ya Iron Dome. Je, Israel imefanya makusudi ili ipate backup nzito ya Kuitindua Iran?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Baada ya Iran Kurusha Makombora wananchi wamekimbilia kwenye kumbi za kujikinga mabomu lakini makombora yalivyofika Israel yametua kwenye targets bila kuzuiliwa na Iron Dome utadhani imezimwa kwa maksudi.

Je, Israel wamefanya maksudi ?

View attachment 3112525
Iron dome aifanyi interception ya kila kombora. Inapima mahali linapoelekea kulingana na diamter iliyosetiwa ndio inaamua ifanye interception au la. So sio kila kombora linalofanikiwa kutua chini iron dome haijaliona. Baadae msiseme Israel inaua wamama na watoto 😆😆😆
 
Lakini dunia inachojua kwa sasa ni kwamba makombora mengi yametua Israel, Huoni alichofanya Israel ni sawa na mtu anaezuiliwa kupigana kujilegeza kwa maksudi apigwe ngumi mbili ili ajibu kwa ngumi kumi ?
 
Lakini dunia inachojua kwa sasa ni kwamba makombora mengi yametua Israel, Huoni alichofanya Israel ni sawa na mtu anaezuiliwa kupigana kujilegeza kwa maksudi apigwe ngumi mbili ili ajibu kwa ngumi kumi huku akiwa na kisingizio cha kumlinda ?
Kama umerusha jiwe likamkosa unayemlenga ila likatua juu ya nyumba au shamba na unahesabu ni mafanikio basi sawa.
 
Duh kuna wa Israel waliofariki Mungu aepushe haya Capilano jamaninwake kwa amani
 
Iran Imerusha makombora mengi yaliyoweza kufikia israel bila kizuizi cha Iron Doma kala ilivyozoeleks, Hakuna watu waliopata maafa kwasababu walijificha kwenye kumbi maalum za kujikinga na mabomu.

Hii imefanywa maksudi kupata kisingizio cha kujibu kwa nguvu zaidi bila huruma za cease fire ?
View attachment 3112525
Uskute ayatollah,aliongea na Netanyau wayaachie,maana amekuwa kwenye shinikizo kubwa kutoka kwa washirika wake
 
🇷🇺🇮🇷🇮🇱⚡️- "Tehran had informed Russia ahead of the missile attacks on Israel." - Reuters, quoting an Iranian official.
1 Like
 
Iran Imerusha makombora mengi yaliyoweza kufikia israel bila kizuizi cha Iron Doma kala ilivyozoeleks, Hakuna watu waliopata maafa kwasababu walijificha kwenye kumbi maalum za kujikinga na mabomu.

Hii imefanywa maksudi kupata kisingizio cha kujibu kwa nguvu zaidi bila huruma za cease fire ?
View attachment 3112525
Hii kitu lazima Netanyahu akiona ataendelea kuota kwa mwezi mzima na imeacha kumbukumbu kww utawala wenye viburi
 
Back
Top Bottom