jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Jana kwenye Aljazeera walikuwa wakisema amekufa mpalestina mmoja wa occupied West Bank.Makombora yote hayo asife mtu, acha utoto basi!
Aliangukiwa na projectile. Roketi iliangukia karibia na huo mpaka wa Palestine na Israel.
Hapo ni kama wameuwana wenyewe. Kaazi kweli kweli.
Watafute namna ya kuachana na hii vita wana recycle generarions.
