Makombora ya Iran yametua Israel bila kipingamizi cha mitambo ya Iron Dome. Je, Israel imefanya makusudi ili ipate backup nzito ya Kuitindua Iran?

Makombora ya Iran yametua Israel bila kipingamizi cha mitambo ya Iron Dome. Je, Israel imefanya makusudi ili ipate backup nzito ya Kuitindua Iran?

Israeli ndio mmiliki wa USA na wote wanalinda hivyo hukuwa unalijua Hilo umechelewa Sana pole, si unaona meli vita ziko tu hapo zinasibiri order ya Nyau ni kama tu Security Guard uli unaowalipa
kuishi kwenye dunia ya watu wajinga kama wewe ni shida sana. Ninampango wa kuhamia Jupiter niepukane na wajinga kama wewe.
 
The request for early warning systems highlights Iran's anticipation of further conflict with Israel.This will be an unending battle.

The region is on edge.

Source :X
 
Back
Top Bottom