Iron dome aifanyi interception ya kila kombora. Inapima mahali linapoelekea kulingana na diamter iliyosetiwa ndio inaamua ifanye interception au la. So sio kila kombora linalofanikiwa kutua chini iron dome haijaliona. Baadae msiseme Israel inaua wamama na watoto 😆😆😆Baada ya Iran Kurusha Makombora wananchi wamekimbilia kwenye kumbi za kujikinga mabomu lakini makombora yalivyofika Israel yametua kwenye targets bila kuzuiliwa na Iron Dome utadhani imezimwa kwa maksudi.
Je, Israel wamefanya maksudi ?
View attachment 3112525
Warabu wa buza mnaifahamu Iran kwelikweli 😆😆😆Kha! Eti imefanya makusudi. Iron mavi sio kwa Iran, bila US Israel hana uwezo wa kukabiliana na Iran huo ndio ukweli.
Lakini dunia inachojua kwa sasa ni kwamba makombora mengi yametua Israel, Huoni alichofanya Israel ni sawa na mtu anaezuiliwa kupigana kujilegeza kwa maksudi apigwe ngumi mbili ili ajibu kwa ngumi kumi ?Iron dome aifanyi interception ya kila kombora. Inapima mahali linapoelekea kulingana na diamter iliyosetiwa ndio inaamua ifanye interception au la. So sio kila kombora linalofanikiwa kutua chini iron dome haijaliona. Baadae msiseme Israel inaua wamama na watoto 😆😆😆
Hata myahudi mavi unajionea kwa macho.Warabu wa buza mnaifahamu Iran kwelikweli 😆😆😆
Kama umerusha jiwe likamkosa unayemlenga ila likatua juu ya nyumba au shamba na unahesabu ni mafanikio basi sawa.Lakini dunia inachojua kwa sasa ni kwamba makombora mengi yametua Israel, Huoni alichofanya Israel ni sawa na mtu anaezuiliwa kupigana kujilegeza kwa maksudi apigwe ngumi mbili ili ajibu kwa ngumi kumi huku akiwa na kisingizio cha kumlinda ?
Uskute ayatollah,aliongea na Netanyau wayaachie,maana amekuwa kwenye shinikizo kubwa kutoka kwa washirika wakeIran Imerusha makombora mengi yaliyoweza kufikia israel bila kizuizi cha Iron Doma kala ilivyozoeleks, Hakuna watu waliopata maafa kwasababu walijificha kwenye kumbi maalum za kujikinga na mabomu.
Hii imefanywa maksudi kupata kisingizio cha kujibu kwa nguvu zaidi bila huruma za cease fire ?
View attachment 3112525
Hii kitu lazima Netanyahu akiona ataendelea kuota kwa mwezi mzima na imeacha kumbukumbu kww utawala wenye viburiIran Imerusha makombora mengi yaliyoweza kufikia israel bila kizuizi cha Iron Doma kala ilivyozoeleks, Hakuna watu waliopata maafa kwasababu walijificha kwenye kumbi maalum za kujikinga na mabomu.
Hii imefanywa maksudi kupata kisingizio cha kujibu kwa nguvu zaidi bila huruma za cease fire ?
View attachment 3112525
Mikwara mingiHatimaye iran
kaingia kwenye mfumo sikilizia milio ya myahudi Sasa
Waongo sana hao ndio walikua wanakuja na habari za Russia leo wapo kimya walidhani vita ni kama mpira wa Yanga/Simba.Mikwara mingi