Makombora ya Iran yametua Israel bila kipingamizi cha mitambo ya Iron Dome. Je, Israel imefanya makusudi ili ipate backup nzito ya Kuitindua Iran?

Makombora yote hayo asife mtu, acha utoto basi!
Jana kwenye Aljazeera walikuwa wakisema amekufa mpalestina mmoja wa occupied West Bank.

Aliangukiwa na projectile. Roketi iliangukia karibia na huo mpaka wa Palestine na Israel.

Hapo ni kama wameuwana wenyewe. Kaazi kweli kweli.

Watafute namna ya kuachana na hii vita wana recycle generarions.
 
Acha uoga tuliza wenge mbona kama umedata netanyahu is loading
 
Afu we football unaonekana umeumia zaid baba pole ndio ukubwa uwe mvumilivu wenzio uko taifa teule usiku wa Leo umekuwa mkubwa kwao awakulala saiii ndio wanachungulia nje kwa kunyata. Jana umejitaidi sana kupangua makombora ya irani wenzio wengi walikukimbia jn pole baba Leo utawaona ohh nyasi tu ongela. Umepambania jamaa zako. Sijui nawao walijua watalengwa!!!
 
Taja kiongozi wa Israel aliyouliwa Jana kwenye hivyo vibaruti🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hatimaye iran
kaingia kwenye mfumo sikilizia milio ya myahudi Sasa
Iran anajivunia nyukilia, sasa ngoja tuone kama kweli ataitumia? Au na vinu vya nyukilia vimekaliwa na Wayahudi?
 
Kha! Eti imefanya makusudi. Iron mavi sio kwa Iran, bila US Israel hana uwezo wa kukabiliana na Iran huo ndio ukweli.
Israeli ndio mmiliki wa USA na wote wanalinda hivyo hukuwa unalijua Hilo umechelewa Sana pole, si unaona meli vita ziko tu hapo zinasibiri order ya Nyau ni kama tu Security Guard uli unaowalipa
 
Israeli ndio mmiliki wa USA na wote wanalinda hivyo hukuwa unalijua Hilo umechelewa Sana pole, si unaona meli vita ziko tu hapo zinasibiri order ya Nyau ni kama tu Security Guard uli unaowalipa
Mkishashiba mnakuja kutudanganya hapa raia wa USA anaetekwa na kupigwa mabomu umewahi sikia wapi?
USA ndio Nchi inayojali na kulinda raia wake kuliko Nchi yeyote Duniani hawawezi kuanzisha vita ya kijinga na huku raia wanakufa Israel ni mtu mmoja tu akiamua ni vita akisimamisha ni yeye tu.kuhusu kulindwa hata Taiwan inalindwa na USA wao wanaangalia maslahi hata Tanzania wanaweza kutulinda wakiona tuna maslahi nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…