Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Mnapewa picha za miaka ya ya nyuma mnasema yuko mstari wa mbele! Hata hamjielewi.Ukraine wakipigwa ni wepesi kusema kweli tumepigwa. lakin hapa mrusi kachemka propaganda za kitoto.
mageneral gani hawana majina. zelensky anatembea hadi mstar wa mbele kabisa yan jana walirusha kombora leo tunaskia zeleboy kaenda kupatembelea wanashindwa kufanya kitu.
hahahah
Source
Nimecheka kwa sauti🤣🤣🤣Habari kama hizi zinaifanya siku yangu ya leo kuwa good sana
Mi mwenyewe hapa nimejisikia utamu hadi kwenye n'yaHabari kama hizi zinaifanya siku yangu ya leo kuwa good sana
basi kuwa refa Kama utaki kuchagua team, ukiona napo shida toka uwanjani nenda viwanja vya kubet kule na kula tunda kimasiara.Muvie zimeharibu akili za watu ,kiukweli hii vita sio yakushabikia hata kidogo maana utalazika kuchagua upo kundi gani wazungu ni watu wa ajabu sana sio rahisi sana wakafurahia maendeleo ya nchi zakiafrica angali wao wapo katika vita,athari zipo nyingi na hawawezi kutuna tukistawi angalau kwa amani...
Wewe endelea kushabikia vita kwa social mediabasi kuwa refa Kama utaki kuchagua team, ukiona napo shida toka uwanjani nenda viwanja vya kubet kule na kula tunda kimasiara.
taarifa ina report Urusi imesema so still huelew wamereport maneno ya Urusi wala hawajapost as news walio ithibitisha wao
ttzo akili zako fupi , hiyo ni nukuu sio taarifa iliyothobitishwa na vyombo vya habari , tofautisha nukuu na taarifa iliyothibitishwa ( "urusi imesema " tofautisha na taarifa ikiana " majenerali wa ukraine kadhaa wameuawa ktk shambulizi ) nyiny ndo wale vijana wanaishambulia bbc swahili kwa kusema habari waliyo tangaza ni propaganda , na ukiangalia habari yenyew imeoneshwa ni nukuu kabisa , wabongo ni hamnazo kbsWaulize DW waliotoa habari Urussi haina show off kama Kiba
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
duh miaka ya nyuma ipi mkuu kaingia nadarakani mwaka 2019 au aliwai kuwa rais huko kwenu bonyokwa maana nasikia mwaka wa 10'mpo ntu mbili na panya roadMnapewa picha za miaka ya ya nyuma mnasema yuko mstari wa mbele! Hata hamjielewi.
jifunz kutofautisha nukuu na taarifa iiyothibitishwa na mtangazajUnatumia cmu ya aina gani vile mkuu ambayo haionyeshi attachments hapo juu???na kama unaona c uingie huko uone?ama lugha tatizo?sema wataka source gani.
Tulia mkuu dawa ipenye vizuuri, sindano isije kukatikia...ttzo akili zako fupi , hiyo ni nukuu sio taarifa iliyothobitishwa na vyombo vya habari , tofautisha nukuu na taarifa iliyothibitishwa ( "urusi imesema " tofautisha na taarifa ikiana " majenerali wa ukraine kadhaa wameuawa ktk shambulizi ) nyiny ndo wale vijana wanaishambulia bbc swahili kwa kusema habari waliyo tangaza ni propaganda , na ukiangalia habari yenyew imeoneshwa ni nukuu kabisa , wabongo ni hamnazo kbs
Urusi awali iltangaza kuwa itatumia nguvu zaidi endapo West watatoa siraha nzito kwa Ukraine.Urusi imetumia yale makombora yake pendwa ya Kalibr kushambulia mkusanyiko wa majenerali na maaafisa wa juu wa jeshi la Ukraine waliokuwa wamekutana kwa ajili ya kikao cha siri karibu na kijiji cha Shirokaya Dacha kwenye mkoa wa Dnepropetrovsk.
Zaidi ya maafisa 50 wakiwemo majenerali wa jeshi la Ukraine wameuawa kwenye shambulio hilo.
Pia makombora hayo ya Kalibr yametumika kushambulia na kuteketeza pisi kumi za howitzer za Marekani na magarivita karibu 20 ya nchi za magharibi yaliyoingizwa Ukraine kama msaada na kuhifadhiwa huko Nikolayev.
=====
View attachment 2265724
View attachment 2265736
Amka mkuu, mnachezea kichapo huko ww unaleta blablaaa hapaHawana majina hao magenerali? Ukraine ikiua nataja majina hadi picha
Propaganda tu hizo
Mno mnoWatamalizwa mno.