Makombora ya Kalibr ya Urusi yashambulia mkusanyiko wa siri wa maofisa wa juu wa jeshi la Ukraine na kuua majenerali/maofisa zaidi ya 50

Makombora ya Kalibr ya Urusi yashambulia mkusanyiko wa siri wa maofisa wa juu wa jeshi la Ukraine na kuua majenerali/maofisa zaidi ya 50

Ukraine wakipigwa ni wepesi kusema kweli tumepigwa. lakin hapa mrusi kachemka propaganda za kitoto.
mageneral gani hawana majina. zelensky anatembea hadi mstar wa mbele kabisa yan jana walirusha kombora leo tunaskia zeleboy kaenda kupatembelea wanashindwa kufanya kitu.
hahahah
Mnapewa picha za miaka ya ya nyuma mnasema yuko mstari wa mbele! Hata hamjielewi.
 
19 June 2022

Operational information as of 18:00 on 19.06.2022 regarding the Russian invasion

Ziara ya Rais Volodymyr Zelensky katika mji wa kusini wa Odessa

Muvie zimeharibu akili za watu ,kiukweli hii vita sio yakushabikia hata kidogo maana utalazika kuchagua upo kundi gani wazungu ni watu wa ajabu sana sio rahisi sana wakafurahia maendeleo ya nchi zakiafrica angali wao wapo katika vita,athari zipo nyingi na hawawezi kutuna tukistawi angalau kwa amani...
 
basi kuwa refa Kama utaki kuchagua team, ukiona napo shida toka uwanjani nenda viwanja vya kubet kule na kula tunda kimasiara.
 
basi kuwa refa Kama utaki kuchagua team, ukiona napo shida toka uwanjani nenda viwanja vya kubet kule na kula tunda kimasiara.
Wewe endelea kushabikia vita kwa social media
 
Waulize DW waliotoa habari Urussi haina show off kama Kiba

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
ttzo akili zako fupi , hiyo ni nukuu sio taarifa iliyothobitishwa na vyombo vya habari , tofautisha nukuu na taarifa iliyothibitishwa ( "urusi imesema " tofautisha na taarifa ikiana " majenerali wa ukraine kadhaa wameuawa ktk shambulizi ) nyiny ndo wale vijana wanaishambulia bbc swahili kwa kusema habari waliyo tangaza ni propaganda , na ukiangalia habari yenyew imeoneshwa ni nukuu kabisa , wabongo ni hamnazo kbs
 
Mnapewa picha za miaka ya ya nyuma mnasema yuko mstari wa mbele! Hata hamjielewi.
duh miaka ya nyuma ipi mkuu kaingia nadarakani mwaka 2019 au aliwai kuwa rais huko kwenu bonyokwa maana nasikia mwaka wa 10'mpo ntu mbili na panya road
 
Unatumia cmu ya aina gani vile mkuu ambayo haionyeshi attachments hapo juu???na kama unaona c uingie huko uone?ama lugha tatizo?sema wataka source gani.
jifunz kutofautisha nukuu na taarifa iiyothibitishwa na mtangazaj
 
ttzo akili zako fupi , hiyo ni nukuu sio taarifa iliyothobitishwa na vyombo vya habari , tofautisha nukuu na taarifa iliyothibitishwa ( "urusi imesema " tofautisha na taarifa ikiana " majenerali wa ukraine kadhaa wameuawa ktk shambulizi ) nyiny ndo wale vijana wanaishambulia bbc swahili kwa kusema habari waliyo tangaza ni propaganda , na ukiangalia habari yenyew imeoneshwa ni nukuu kabisa , wabongo ni hamnazo kbs
Tulia mkuu dawa ipenye vizuuri, sindano isije kukatikia...

Kwa hiyo kwa akili zako unadhani waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vikiwemo vya Uingereza, Marekani, na hata vya Tanzania wanaoripoti kila siku vifo kwenye vita vya Ukraine huwa wanatembea na wanajeshi ima wa Russia au wa Ukraine ili wakiua hao waandishi wanaenda kuhesabu watu waliouawa pengine kusoma vitambulisho vyao (kuthibitisha) kisha waripoti?!

Acha kulialia, jifunze pia kupokea na kuzivumilia taarifa usizopenda kuzisikia....pia waweza kutozifatilia kama zinakuumiza zaidi moyo wako.
 
Urusi imetumia yale makombora yake pendwa ya Kalibr kushambulia mkusanyiko wa majenerali na maaafisa wa juu wa jeshi la Ukraine waliokuwa wamekutana kwa ajili ya kikao cha siri karibu na kijiji cha Shirokaya Dacha kwenye mkoa wa Dnepropetrovsk.

Zaidi ya maafisa 50 wakiwemo majenerali wa jeshi la Ukraine wameuawa kwenye shambulio hilo.

Pia makombora hayo ya Kalibr yametumika kushambulia na kuteketeza pisi kumi za howitzer za Marekani na magarivita karibu 20 ya nchi za magharibi yaliyoingizwa Ukraine kama msaada na kuhifadhiwa huko Nikolayev.
=====

View attachment 2265724
View attachment 2265736
Urusi awali iltangaza kuwa itatumia nguvu zaidi endapo West watatoa siraha nzito kwa Ukraine.
 
Hawana majina hao magenerali? Ukraine ikiua nataja majina hadi picha

Propaganda tu hizo
Amka mkuu, mnachezea kichapo huko ww unaleta blablaaa hapa
IMG_20220620_055502.jpg
 
Back
Top Bottom