Makombora ya Kalibr ya Urusi yashambulia mkusanyiko wa siri wa maofisa wa juu wa jeshi la Ukraine na kuua majenerali/maofisa zaidi ya 50

Makombora ya Kalibr ya Urusi yashambulia mkusanyiko wa siri wa maofisa wa juu wa jeshi la Ukraine na kuua majenerali/maofisa zaidi ya 50

Urusi imetumia yale makombora yake pendwa ya Kalibr kushambulia mkusanyiko wa majenerali na maaafisa wa juu wa jeshi la Ukraine waliokuwa wamekutana kwa ajili ya kikao cha siri karibu na kijiji cha Shirokaya Dacha kwenye mkoa wa Dnepropetrovsk.

Zaidi ya maafisa 50 wakiwemo majenerali wa jeshi la Ukraine wameuawa kwenye shambulio hilo.

Pia makombora hayo ya Kalibr yametumika kushambulia na kuteketeza pisi kumi za howitzer za Marekani na magarivita karibu 20 ya nchi za magharibi yaliyoingizwa Ukraine kama msaada na kuhifadhiwa huko Nikolayev.
=====

View attachment 2265724
View attachment 2265736
Naam habari njema hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Picha watoe wapi wakati Majenerali waliokufa walifia kwenye movie na games za kwenye simu. Ground huku wanakwambia kombora halikuwa na attendance. Mbona Ukraine ikiua maafisa Warusi inataja majina na picha inatoa. Hata ikishambulia meli inawaacha wanakana kisha unaona footage za Bayraktar hizo zinasambaa mtandaoniView attachment 2267291View attachment 2267292View attachment 2267294View attachment 2267295
Ndo maana Urusi anaonekana kama mtoto saa zingine maana madai yake hayana kweli.

Yaani nikapige kambi yenye Generals na Wakubwa 50 afu nisiwe na drone ikionesha hata mlipuko au movement
 
Ndo maana Urusi anaonekana kama mtoto saa zingine maana madai yake hayana kweli.

Yaani nikapige kambi yenye Generals na Wakubwa 50 afu nisiwe na drone ikionesha hata mlipuko au movement
RUSSIA anatoa report zake kila leo zasiku nzima
Uliona wapi katangaza kumuua kishankov cjui nani akaja na picha
Sisemi kama hio taarifa yakweli ama yauongo hapana hilo cjui
Ila masual ya mapicha picha niyakwenu UKRO NATO keamsaada wa BIIBIISII
Pia kumuona RUSSIA kama mtoto nihaki yenu yakuamua kupembua mambo hampingwi wala kulazmishwa
RUSSIA TAIFA TEULE
 
Associated Press: A helicopter of the Russian army violated the airspace of Estonia.
 
Maandamano makubwa Mjini Brussels.

Waandamanaji waingia barabarani za jiji wakiwa na bendera za vyama vya wafanyikazi, wakipinga ongezeko la bei ya mafuta na umeme, iliyochochewa na vikwazo. "Pesa ni kwa mishahara, sio kwa vita.Komesha NATO!" kauli mbiu za waandamanaji.[emoji116] https://t.co/AjTql9xvBG
 
Tuliwapa majina ya majenerali wa Urusi, nyie mumejifichia kwenye ngonjera, leta surce na majina la sivyo fyata.
Duh,kuanzia Rais mpk mashabiki wao wote maneno matupu,hatujaua general hata mmoja,tumevituma tuu vyombo vya magharibi kuleta propaganda. Taarifa za uhakika kwetu pekee ni kutwaa miji🤣🤣🤣
Na next time tutabuni bomu lenye kuchukua attendance kabla ya kuua.😡😡😡
 
Mpaka sasa hamna taarifa zozote kuhusu nani aliuawa au general yupi...
General kufa sio kazi rahisi, ni urusi tu ndio huwa wanauawa kama senene.
 
Mpaka sasa hamna taarifa zozote kuhusu nani aliuawa au general yupi...
General kufa sio kazi rahisi, ni urusi tu ndio huwa wanauawa kama senene.
🤣🤣🤣 Kwa kuwa Urusi jeshi dogo na Ukraine kubwaaaaaaa kama US 🤣🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣 Kwa kuwa Urusi jeshi dogo na Ukraine kubwaaaaaaa kama US 🤣🤣🤣🤣

Lini uliona jeshi la US wanapoteza hata jenerali mmoja, hao Urusi wameshangaza kwa walivyo dhaifu, kainchi kadogo kameua majenerali wao kilaini sana.
 
Lini uliona jeshi la US wanapoteza hata jenerali mmoja, hao Urusi wameshangaza kwa walivyo dhaifu, kainchi kadogo kameua majenerali wao kilaini sana
Maj Gen Greene 2014 nchini Afghanstan, anyway udhaifu wa Russia kwann hili super power US haliivamii mara moja kama Libya liondoe shida inayopata???
 
Maj Gen Greene 2014 nchini Afghanstan, anyway udhaifu wa Russia kwann hili super power US haliivamii mara moja kama Libya liondoe shida inayopata???
Huyo aliuawa kwa kushtukizwa na askari wa upande friendly wa Afghan ambaye labda aliingiwa na uzombi wa kidini akawageuka Wamarekani.

Mpaka sasa supapawa wenu ambaye tegemeo la waarabu ameshindwa kufunika kainchi kadogo ka Ukraine, jirani yake hapo, aibu sana hii

where-are-ukraine-&-russia.jpg
 
🤣🤣🤣 nyie tena vyombo vya habari vyote vyenu,mtasema ukweli si hata Sadam Hussein mlisema ana WMD na mkaaminisha dunia ujinga wenu only to find the guy clean and here you are pretending lovers of democracy and rights mwamlilia Ukraine.
Hivi Russia anapigana na Ukraine ama NATO with US included???🤣🤣🤣
Usisahau kuniambia OP yako kwa bwana Assad🤣🤣🤣 ushaichukua nchi vile enhee???
 
Picha watoe wapi wakati Majenerali waliokufa walifia kwenye movie na games za kwenye simu. Ground huku wanakwambia kombora halikuwa na attendance. Mbona Ukraine ikiua maafisa Warusi inataja majina na picha inatoa. Hata ikishambulia meli inawaacha wanakana kisha unaona footage za Bayraktar hizo zinasambaa mtandaoniView attachment 2267291View attachment 2267292View attachment 2267294View attachment 2267295
Acha uongo, hizo picha zote source yake ni Russia wenyewe, na sio Ukraine.

Au Kyiv waliandaa mazishi ya hao wanajeshi wa Urusi kisha wakapiga picha?! Muwe mnashughulisha bongo.
Screenshot_20220625-131921_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom