Makombora ya Urusi yaua wawili Poland

Wakithubutu kujibu niite mbwa niko pale.

Wakijibu inamaanisha kuingia vitani na Urusi kitu ambacho hakuna kiongozi yeyote wa kimagharibi anaweza thubutu hata kukifikiria.
Na wasipo jibu basi tukubaliane wanamogopa Urusi.
Fatilia historia ya hao watu Poland,Urusi,Hungary utapata majibu Mkuu...
 
Russia imerusha kombora na kutua PolandView attachment 2418013
Two people died Tuesday afternoon after a projectile struck an area where grain was drying in Przewodów, a Polish village near the border with Ukraine, domestic media reported...
Vita havina akili

Dunia inaelekea kwenye wazimu wa karne soonest
 
Russia kawashika pabaya Biden kaanza kukwepesha lawama kwa Russia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii inaweza kuwa declaration rasmi ya vita ya tatu ya dunia! Kombe la dunia huenda likasogezwa mbele na mfumo wa maisha wa dunia nzima ukaharibika. Tuombeni kwa juhudi zaidi!
Hakuna vita ya tatu kaka kua na Amani. Wao wenyewe wanaogopa maana ikitokea wote watafutika kwenye uso wa Dunia.
 
Russia imerusha kombora na kutua PolandView attachment 2418013
Two people died Tuesday afternoon after a projectile struck an area where grain was drying in Przewodów, a Polish village near the border with Ukraine, domestic media reported...
Kwani Poland ilitolewa NATO? Ninavyoelewa, hawa wana vifaa vyote vya kujikinga na hayo makombora sasa limesafiri toka Russia hadi Poland bila wao kujua hii haiko sawa mahali
 
Confirmed

Ukraine ndo alirusha hilo kombora la kutungua makombora, bahati mbaya likadondokea Poland
 
Haha ha kumbe ndo hivyo.
Basi si wangeiandika TU kwamba ukitupiga Mara ya kwanza tunakuonya ya pili tunakushughulikia.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Wapoland unawapaisha TU mkuu. Wana nguvu lakini hata historia inaonesha Ni watu dhaifu.
Wanajitengenezea silaha na vingine vingi lakini kuijibu Urusi dhidi ya Hili huo uwongo

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Wasipofuata kipengele chao watakua wameiogopa Russia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Hivi unajua madhara ya WW3 ikitokea.
Hutaweza tena kupata mfumo wa internet. Maana miundombinu yote itakuwa imeharibiwa na mionzi ya nyukilia. TAFSRI YAKE NI KWAMBA KAMA UTABAHATIKA KUWA HAI, HIYO SMARTFONE YAKO ITABAKI KUWA PAMBO TU
 
Wapoland unawapaisha TU mkuu. Wana nguvu lakini hata historia inaonesha Ni watu dhaifu.
Wanajitengenezea silaha na vingine vingi lakini kuijibu Urusi dhidi ya Hili huo uwongo

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Miaka ya 1939 kilikua na Polish Soviet War hiyo unayoiona huko Ukraine ilianzia hizi Nchi zingine walimega eneo linaitwa Kresy enzi za USSR wapoland walishinda ile battle wao ndio waligundua matumizi ya Red army radio messages ile battle waliibatiza kwa jina la Battle of Warsaw hao jamaa washapigana kama mara mbili ya kwanza nadhani ilikua miaka ya 1919 kwa hiyo ni watu wanaomaindiana sana ukiweza fatilia baadae akawaletea zegele Hungury ambae ni jirani yake kichapo alichokipata hapo hawaji kupigana tena ni kama sasa hivi akishindwa huko Ukraine na Ukraine wakafanikiwa kukomboa majimbo yao yote hakutakuja kuwa na vita ni heshima tuu hizi mambo hawajaanza jana wala juzi ni vile Historia tunapishana nayo Mkuu..
 
Confirmed

Ukraine ndo alirusha hilo kombora la kutungua makombora, bahati mbaya likadondokea Poland
Vp ni makombora mangapi ya air defence yamemiss target?Huwa yanaenda kutua wapi?Kwanini hatujawahi kusikia kuwa Kuna Kombora la Ukraine wakati wa interception limemiss target na kwenda kutua eneo fulani au kuleta Madhara fulani?
Kuna mengi hayako wazi kwenye vita hii,propaganda ndio zimetangulizwa mbele!
 
Hawana lolote hao kenge [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu pana mtu anasema Poland ni wanyonge kwa Russia,mbona sasa Russia anajihami kwa kukana.Kama yeye ni mbabe kweli akae kimya asuburie kuona watajibu nini Poland lakini kukimbilia kukana maana yake anaujua mziki utakaokuja na hawezi kuucheza.
Aliyekana ni Biden
 
Aliyekana ni kiwa Urusi haihusiki ni Biden
Russia’s defense ministry has denied allegations circulating that its missiles struck Poland on Tuesday, not long after a U.S. intelligence official said that Russian strikes killed two people in a possible escalation of Russia’s war in Ukraine.

“No strikes on targets near the Ukrainian-Polish state border were made by Russian means of destruction,” the ministry said in a statement on Telegram, adding that the related “statements of the Polish media and officials” are “a deliberate provocation aimed at escalating the situation.”

https://www.usnews.com/news/world-r...ia-denies-reports-of-missiles-striking-poland
 
Tulieni mpigwe Spana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…