Makombora yatua Tel Aviv

Makombora yatua Tel Aviv

Vita ni strategy na sio nguvu. Hizbollah kazifikia karibu kambi zote na ameanza kuzirudia rudia, jaman tunaongea kama masikhara lakin hizbollah anapiga vitu muhimu sana na ndio amewapa ahueni hamas, zile ndege zikichunwa tu kidogo haziruki mpaka waagize vifaa. Ambae hata hangalii kwa umakini atasema resistance wana loose
 
Ugaidi utakuua
Angalia shoga hili yaani watu wanapamba ardhi yao wanaporwa unawaita magaidi ndiyo maana unaona Dunia UN wapo na Palestina isipokuwa mabasha zako Marekani na Uingereza.
 
Mwaka Israel inatamani hata kukimbia vita. Wanaogopa tu aibu. Israel inatandikwa kisawa sawa.
Hicho ndo kitu kinawatasa isreli na Netanyahu yeye anataka kumakiza vita kihuni yaani bila makibaliano rasmi ili siku akikaa akijiaikia anarusha ndege kwenda beiruti ....na mbaya zaidi kundelea na vita nako anaona inamkula sana kiuchumi
 
Angalia shoga hili yaani watu wanapamba ardhi yao wanaporwa unawaita magaidi ndiyo maana unaona Dunia UN wapo na Palestina isipokuwa mabasha zako Marekani na Uingereza.
Hilo neno ulilioongea Mimi hata siwezi kulitamaka mdomoni,, inaonekana wewe 100% uko ndio Tabia zako hivyo,,haf swala la kusema UN wako na gaza leta data ziko wapi??,, na swala lu kusema marekani na uingereza wako upande wa Israel,,hizo ndo great nations in the world, especially marekani.. christian will continue being great 👍.
 
⚡️Hezbollah’s attacks on Tel Aviv are sending a strong message.

The nighttime attacks followed Netanyahu’s speech about negotiating with “fire,” and now Hezbollah has struck Tel Aviv and its northern area twice in the past few hours as U.S. envoy Amos Hochstein arrives in Beirut this morning.

Israel has admitted to several injuries and significant damage to multiple buildings.

This conveys some points:

1.By striking Tel Aviv, Hezbollah is signaling its readiness and capability to respond forcefully to Israeli rhetoric and actions. The attacks serve as a show of strength and a warning that Hezbollah can escalate.

2.The timing of the attacks, following Netanyahu’s “negotiating with fire” speech, underscores Hezbollah’s rejection of any perceived threats or intimidation. Hezb is asserting that such rhetoric will be met with direct action rather than submission.

3.With U.S. envoy Amos Hochstein’s arrival in Beirut, Hezbollah’s actions can also be seen as a statement to the international community. It signals that ongoing or escalated hostilities will have consequences that could impact broader regional stability, potentially influencing diplomatic negotiations or international involvement.
 
Israel ni dude kubwa sana lenye maguvu na hawa wengine ni wadhaifu wasiokuwa na nguvu. Hivyo mtu mnyonge anapofanikiwa kumpiga hata kwa jiwe mwenye mabavu lazima ASHANGILIE SANA.
Pia Israel inapopiga Hizbullah kwa makombora mazito na kuwaua INAKUWA SIO HABARI ,lakini Hizbullah anapofanikiwa kurusha jiwe au yai viza na kupiga kichwani kwa Netanyahu HIYO NI HABARI KUBWA SANA DUNIA
Nani alidhani kwmba TEL Aviv itapenyeka....ila hii ni warning kwao kwmba Kila kitu kinawezekana....drones zinaweza kufanya yake....ballistics zinaweza na hata hypersonic zinaweza....Netapaka arudi mezani kuongea....ugomvi uishe arudi kortini kupambana na kesi zake....hata akikutwa na hatia watamfunga kistaarabu maana ni mwenzao....ila akizidi kukaza fuvu atalala sana kwny bankers maana maadui wanakusaka mpk raia zako nao washaanza kukuwinda maana inaonekana ww ni nuksi....kuna uwezekano Hawa Hizbollah Wana silaha nyingine mbaya zaidi ila wanakupa dozi kutokana na nyakati husika.....wao Israel walisema kuna estimation jamaa wakawa na makombora 150000....Sasa sidhani kama hata nusu ya hayo madude yametumika.....plus hujui supply anayopata bdo kutoka kwa Iran na pia hujui at some point kama na hata Russia nao ataanza kumpenyezea...Bibi sijui anafeli wapi kutafakari kwa akili ya kawaida.....
 
Hilo neno ulilioongea Mimi hata siwezi kulitamaka mdomoni,, inaonekana wewe 100% uko ndio Tabia zako hivyo,,haf swala la kusema UN wako na gaza leta data ziko wapi??,, na swala lu kusema marekani na uingereza wako upande wa Israel,,hizo ndo great nations in the world, especially marekani.. christian will continue being great 👍.
Usiwe punguani wewe na utumwa wa akili umetawaliwa na hawa magaidi bado yameiba mali africa bado unataka fikra zao ndiyo zifuatwe duniani nzima jinga kabisa wewe yaani huoni watoto wa Gaza zaidi ya 16.000 wanauliwa Gaza huo kwako siyo Ugaidi? Wanapiga makombora mashule, hospital, kambi za wakimbizi kwako huo siyo ugaidi?

Soma hiii.



Weka ushahidi wa ugaidi wa Palestina.

Marekani na Uingreza wanataka watu wawe mashoga vipi na wewe naona unakubaliana nao.
 
Back
Top Bottom