Ona wajeda wenu aibu mkiambiwa wanajesh wa Israel uko vijiweni kwenu mnashangilia sasa waone machomeupe awa ndio wakawakomboe raia wao waliotekwa sababu ndio mana Netanyahu kaweka pesa mezani zisaidie kupatikana raia wao kutegemea mashoga vitan asala kubwa kaoneo kadogo jesh zima limeshindwa kukomboa watu wao tena wako apo apo jilan adi wameweka mipesa kibao aibu yenu hii Jehova kasaza apo ndio Gaza jela kubwa Dunian!! Uko lebanon wataweza kwelii!! Ndio wakatoka nduki Hezbulla wapo free sio jela. IDF wameona Waendelea kubomoa majengo kwa ndege vita kitonga kwao lkn vita ya kiume awawezi Dunia sasa imeyajua ya silini kuwa kumbe ilikuwa mbwembwe tu WAISRAEL MOSSAD ushuzi tu oct 7 Hamas wamevamia kambi 4 za jeshi wakaziteka na kuchukua wanajesh kama mateka ambao adi leo mwaka na miez2 wanajesh wanashindwa kukomboa wanajeshi wenzao sio Aibu hii tena kubwa. Dunia imekuwa kijiji muuache kudanganyana vijiweni kwenu.!!! Ukweli IDF ISRAEL imesaza.