Makonda aamuru kukamatwa mara moja wezi wa millioni 478

Hizo ni sarakasi si tu. Hayo ndiyo maisha ndani ya CCM, ni sawa na yeye alivyotaka kutapeli nyumba ya GSM au alivyokua akichukua magari ya kinguvu kwa kofia na mamlaka yake alipokuwa RC wa Dar.
Ukiona wanakamatana basi ujue wamezungukana kwenye migao.
Tena sio sarakasi tu zakawaida hizo ni sarakasi za kimazingaombwe. Kwa uwelewa wa kawaida kaya nyingi zinalipwa wastani wa laki moja moja sasa nani atakaye risk kuiba fedha za kaya elfu nne? Lamda njia iliyotumika sio sahihi lakini sio kwamba fedha imeibwa
 
Poor mind

Jadili hoja achana na personal attach
Ww pia una mapungufu yako nyuma ya fake I'd
Acha upumbavu wewe. Yaani kumwita mwizi aliyeiba kuwa ni mwizi ndiyo unaita personal attack?
Nyie team Kolomije mnashida sana, mimi nimechambua , kama una skili huru utaiona hoja yangu, lakini kama ni mateka wa team Kolomije usitaraji kuiona hoja.

Haya onyesha wewe ulichochambua katika hili jibu lako unachoweza ukakiita hoja.
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametaka kufikishwa mahakamani haraka kwa watumishi wanaodaiwa kuhusika na upotevu wa shilingi Milioni 428 ambazo ni fedha za Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini unaotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF).

Makonda ameyasema hayo mkoani Arusha wakati akizungumza na waandishi wa habari na kuongeza kuwa watumishi wanaodaiwa kuhusika na upotevu wa fedha hizo wafikishwe mahakamani kwa kuwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) tayari imekamilisha uchunguzi wake.

"Vyombo vimeridhika kwa uchunguzi uliofanyika mtu anaingiziwa shilingi Milioni 428 kwenye akaunti yake sio msambazaji wala sio mkandarasi waliomuingizia hizo fedha wanazunguka upande wa pili na kwenda kuzichukua wanagawana na kumuachia fedha katika akaunti yake kama kishika uchumba kwa kazi ya kuficha fedha za wananchi wa hali ya chini". amesema Makonda
Majizi ya pesa za join the chain yatakuja kupinga sasa hivi..
 
there is no way, no shortcut, no place to hide and ofcoz no escape roots for looters, extravaganzas and corrupt chiefs will survive in this government as we are approaching serikali za mitaa elections as well as general elections later on next year 2025🐒
 
Huku ni kujipa tu promo Tena za kijinga kabisa. Kwani hao takukuru hawakujui mahakamani Hadi yeye awaelekeze? Au yeye ndio dci mpya? Hebu atafute kick mpya asituchoshe!
Mwanangu umeandika kama mwimbaji wa taarabu hivi.
 
Ni ajabu sana. Mooraji wa nyumba ya GSM, mtekaji na muuaji anataka kuwakamata wezi wa milioni 478.
 
Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa drama na maigizo yashaanza 😂😂😂😂
 
Hizo ni sarakasi si tu. Hayo ndiyo maisha ndani ya CCM, ni sawa na yeye alivyotaka kutapeli nyumba ya GSM au alivyokua akichukua magari ya kinguvu kwa kofia na mamlaka yake alipokuwa RC wa Dar.
Ukiona wanakamatana basi ujue wamezungukana kwenye migao.
Kwahiyo hao wezi wasifikishwe mahakamani?? Wewe ni Kima
 
100%
 
Kuna jirani yetu ni mtu wa TASAF, watoto wake anasomesha India, wa mwisho ni wa kike ndo yuko hapo Kairuki.

Ana pesa balaa, kubadilisha magari tyuu ndo anawezaa.
Pesa za tasaf

Ova
 
Huku ni kujipa tu promo Tena za kijinga kabisa. Kwani hao takukuru hawakujui mahakamani Hadi yeye awaelekeze? Au yeye ndio dci mpya? Hebu atafute kick mpya asituchoshe!
Kw mpalange panakujusu ngoja nimjulishe mbowe
 
Kwahiyo hao wezi wasifikishwe mahakamani?? Wewe ni Kima
Kolomije gang akili zaki ni funza, huna uwezo wa kunijibu. Huyu ring leader wenu anaonekana wa maana sababu ya uduchu wenu kiakili.
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametaka kufikishwa mahakamani haraka kwa watumishi wanaodaiwa kuhusika na upotevu wa shilingi Milioni 428 ambazo ni fedha za Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini unaotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF).

Makonda ameyasema hayo mkoani Arusha wakati akizungumza na waandishi wa habari na kuongeza kuwa watumishi wanaodaiwa kuhusika na upotevu wa fedha hizo wafikishwe mahakamani kwa kuwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) tayari imekamilisha uchunguzi wake.

"Vyombo vimeridhika kwa uchunguzi uliofanyika mtu anaingiziwa shilingi Milioni 428 kwenye akaunti yake sio msambazaji wala sio mkandarasi waliomuingizia hizo fedha wanazunguka upande wa pili na kwenda kuzichukua wanagawana na kumuachia fedha katika akaunti yake kama kishika uchumba kwa kazi ya kuficha fedha za wananchi wa hali ya chini". amesema Makonda
Safi sana, napendekeza Makonda apewe miaka 15 zaidi hapa kwetu Arusha
 
Back
Top Bottom