Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hopeless kbsSafi sana, napendekeza Makonda apewe miaka 15 zaidi hapa kwetu Arusha
🤣 🤣 🤣Kumekucha ajiandae kuitwa kamati ya maadili mafisadi wameingiliwa channel yao!
Hapingwi sababu ya kuchukiwa, anapingwa Sababu hana moral authority ya kufanya hayo afanyayo.Kuna watu watapinga kwasababu tu wanamchukia Makonda.
HIVI WALE WANAOTAJWA KWA UPOTEVU WA MABILIONI YA FEDHA UPELELEZI WAO UNACHUKUA MIAKA MINGAPI?Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametaka kufikishwa mahakamani haraka kwa watumishi wanaodaiwa kuhusika na upotevu wa shilingi Milioni 428 ambazo ni fedha za Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini unaotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF).
Makonda ameyasema hayo mkoani Arusha wakati akizungumza na waandishi wa habari na kuongeza kuwa watumishi wanaodaiwa kuhusika na upotevu wa fedha hizo wafikishwe mahakamani kwa kuwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) tayari imekamilisha uchunguzi wake.
"Vyombo vimeridhika kwa uchunguzi uliofanyika mtu anaingiziwa shilingi Milioni 428 kwenye akaunti yake sio msambazaji wala sio mkandarasi waliomuingizia hizo fedha wanazunguka upande wa pili na kwenda kuzichukua wanagawana na kumuachia fedha katika akaunti yake kama kishika uchumba kwa kazi ya kuficha fedha za wananchi wa hali ya chini". amesema Makonda
Kinywa hunena yaujazao moyo. Unaonekana mchezo wa kuzibuliwa mtaro umefanyiwa Sana Hadi umekuwa addicted na unautumja Kama njia ya kupata mlo wa siku!Kw mpalange panakujusu ngoja nimjulishe mbowe
Vipi, unataka apewe zaidi?Hopeless kbs
Duu huo ndiyo urefu wa Kamba yao au wameongezea urefu wa kambaMkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametaka kufikishwa mahakamani haraka kwa watumishi wanaodaiwa kuhusika na upotevu wa shilingi Milioni 428 ambazo ni fedha za Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini unaotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF).
Makonda ameyasema hayo mkoani Arusha wakati akizungumza na waandishi wa habari na kuongeza kuwa watumishi wanaodaiwa kuhusika na upotevu wa fedha hizo wafikishwe mahakamani kwa kuwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) tayari imekamilisha uchunguzi wake.
"Vyombo vimeridhika kwa uchunguzi uliofanyika mtu anaingiziwa shilingi Milioni 428 kwenye akaunti yake sio msambazaji wala sio mkandarasi waliomuingizia hizo fedha wanazunguka upande wa pili na kwenda kuzichukua wanagawana na kumuachia fedha katika akaunti yake kama kishika uchumba kwa kazi ya kuficha fedha za wananchi wa hali ya chini". amesema Makonda
Alikutapeli ?kuna aliyetapeliwa amejitokeza kulalamika? Kuna wakati makonda alikuwa rais wa kawaida bila cheo chochote kwanini wasijitokeze?usilishwe habari za vijiweni ,nimesikia makonda kafanya hili unabeba.Hapingwi sababu ya kuchukiwa, anapingwa Sababu hana moral authority ya kufanya hayo afanyayo.
Muovu anapotakatisha uovu wake kwa kujifanya unashughulikia waovu hiyo haiwezi kukubalika.
Hicho anachokifanya ni utakatishaji wa tabia zake za hovyo, za kijinai na kitapeli.