Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Tena sio sarakasi tu zakawaida hizo ni sarakasi za kimazingaombwe. Kwa uwelewa wa kawaida kaya nyingi zinalipwa wastani wa laki moja moja sasa nani atakaye risk kuiba fedha za kaya elfu nne? Lamda njia iliyotumika sio sahihi lakini sio kwamba fedha imeibwaHizo ni sarakasi si tu. Hayo ndiyo maisha ndani ya CCM, ni sawa na yeye alivyotaka kutapeli nyumba ya GSM au alivyokua akichukua magari ya kinguvu kwa kofia na mamlaka yake alipokuwa RC wa Dar.
Ukiona wanakamatana basi ujue wamezungukana kwenye migao.
Nenda ukamkamate.Nayeye akamatwe fasta kwakosa lakutaka kumuua Mh Lissu na kuvamia Clouds kisa Shilawandu
[emoji1787] We jamaa comment yako inaonyesha wewe ni empty set, otherwise labda kuna mjombaako anahusika na hizo tuhuma sio bure, umevurugwa sana [emoji38].Kumekucha wapi kenge wewe ...Yule mauaji Bashite wako? Kipara bila akili ni Sawa tako
Acha upumbavu wewe. Yaani kumwita mwizi aliyeiba kuwa ni mwizi ndiyo unaita personal attack?Poor mind
Jadili hoja achana na personal attach
Ww pia una mapungufu yako nyuma ya fake I'd
Majizi ya pesa za join the chain yatakuja kupinga sasa hivi..Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametaka kufikishwa mahakamani haraka kwa watumishi wanaodaiwa kuhusika na upotevu wa shilingi Milioni 428 ambazo ni fedha za Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini unaotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF).
Makonda ameyasema hayo mkoani Arusha wakati akizungumza na waandishi wa habari na kuongeza kuwa watumishi wanaodaiwa kuhusika na upotevu wa fedha hizo wafikishwe mahakamani kwa kuwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) tayari imekamilisha uchunguzi wake.
"Vyombo vimeridhika kwa uchunguzi uliofanyika mtu anaingiziwa shilingi Milioni 428 kwenye akaunti yake sio msambazaji wala sio mkandarasi waliomuingizia hizo fedha wanazunguka upande wa pili na kwenda kuzichukua wanagawana na kumuachia fedha katika akaunti yake kama kishika uchumba kwa kazi ya kuficha fedha za wananchi wa hali ya chini". amesema Makonda
there is no way, no shortcut, no place to hide and ofcoz no escape roots for looters, extravaganzas and corrupt chiefs will survive in this government as we are approaching serikali za mitaa elections as well as general elections later on next year 2025🐒Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametaka kufikishwa mahakamani haraka kwa watumishi wanaodaiwa kuhusika na upotevu wa shilingi Milioni 428 ambazo ni fedha za Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini unaotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF).
Makonda ameyasema hayo mkoani Arusha wakati akizungumza na waandishi wa habari na kuongeza kuwa watumishi wanaodaiwa kuhusika na upotevu wa fedha hizo wafikishwe mahakamani kwa kuwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) tayari imekamilisha uchunguzi wake.
"Vyombo vimeridhika kwa uchunguzi uliofanyika mtu anaingiziwa shilingi Milioni 428 kwenye akaunti yake sio msambazaji wala sio mkandarasi waliomuingizia hizo fedha wanazunguka upande wa pili na kwenda kuzichukua wanagawana na kumuachia fedha katika akaunti yake kama kishika uchumba kwa kazi ya kuficha fedha za wananchi wa hali ya chini". amesema Makonda
Mwanangu umeandika kama mwimbaji wa taarabu hivi.Huku ni kujipa tu promo Tena za kijinga kabisa. Kwani hao takukuru hawakujui mahakamani Hadi yeye awaelekeze? Au yeye ndio dci mpya? Hebu atafute kick mpya asituchoshe!
Nawe ukaitikia kibwagizo ulivyo zuzu!Mwanangu umeandika kama mwimbaji wa taarabu hivi.
Kuna jirani yetu ni mtu wa TASAF, watoto wake anasomesha India, wa mwisho ni wa kike ndo yuko hapo Kairuki.Fedha za tasaf zinaliwa sana na wahuni
Ova
Ha ha haaa. KumekuchaKumekucha ajiandae kuitwa kamati ya maadili mafisadi wameingiliwa channel yao!
Kwahiyo hao wezi wasifikishwe mahakamani?? Wewe ni KimaHizo ni sarakasi si tu. Hayo ndiyo maisha ndani ya CCM, ni sawa na yeye alivyotaka kutapeli nyumba ya GSM au alivyokua akichukua magari ya kinguvu kwa kofia na mamlaka yake alipokuwa RC wa Dar.
Ukiona wanakamatana basi ujue wamezungukana kwenye migao.
100%Hizo ni sarakasi si tu. Hayo ndiyo maisha ndani ya CCM, ni sawa na yeye alivyotaka kutapeli nyumba ya GSM au alivyokua akichukua magari ya kinguvu kwa kofia na mamlaka yake alipokuwa RC wa Dar.
Ukiona wanakamatana basi ujue wamezungukana kwenye migao.
Pesa za tasafKuna jirani yetu ni mtu wa TASAF, watoto wake anasomesha India, wa mwisho ni wa kike ndo yuko hapo Kairuki.
Ana pesa balaa, kubadilisha magari tyuu ndo anawezaa.
Kw mpalange panakujusu ngoja nimjulishe mboweHuku ni kujipa tu promo Tena za kijinga kabisa. Kwani hao takukuru hawakujui mahakamani Hadi yeye awaelekeze? Au yeye ndio dci mpya? Hebu atafute kick mpya asituchoshe!
Kolomije gang akili zaki ni funza, huna uwezo wa kunijibu. Huyu ring leader wenu anaonekana wa maana sababu ya uduchu wenu kiakili.Kwahiyo hao wezi wasifikishwe mahakamani?? Wewe ni Kima
Safi sana, napendekeza Makonda apewe miaka 15 zaidi hapa kwetu ArushaMkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametaka kufikishwa mahakamani haraka kwa watumishi wanaodaiwa kuhusika na upotevu wa shilingi Milioni 428 ambazo ni fedha za Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini unaotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF).
Makonda ameyasema hayo mkoani Arusha wakati akizungumza na waandishi wa habari na kuongeza kuwa watumishi wanaodaiwa kuhusika na upotevu wa fedha hizo wafikishwe mahakamani kwa kuwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) tayari imekamilisha uchunguzi wake.
"Vyombo vimeridhika kwa uchunguzi uliofanyika mtu anaingiziwa shilingi Milioni 428 kwenye akaunti yake sio msambazaji wala sio mkandarasi waliomuingizia hizo fedha wanazunguka upande wa pili na kwenda kuzichukua wanagawana na kumuachia fedha katika akaunti yake kama kishika uchumba kwa kazi ya kuficha fedha za wananchi wa hali ya chini". amesema Makonda
Nayeye akamatwe fasta kwakosa lakutaka kumuua Mh Lissu na kuvamia Clouds kisa Shilawand
Umesema kweliNi ajabu sana. Mooraji wa nyumba ya GSM, mtekaji na muuaji anataka kuwakamata wezi wa milioni 478.