Makonda aanza kukamata wakusanya madeni (auctioneers) wanaotumwa na mabenki

Banks nyingi Tanzania riba sio rafiki matokeo yake ni kuumiza watu.

Hizi Sacco's na microfinance zinahitaji usimamizi wa kina sana maana huku mitaani ni tafrani sasa.
 
Tatizo lako huko kichwani umejaza mavi badala ya ubongo,hakuna sheria inayoweka ukomo wa thamani ya dhamana ili mradi iwe na thamani kubwa kuliko kiasi unachotaka kukopeshwa na hakuna taasisi inayokopesha mtu kwa sababu ana shida taasisi zote pamoja na serikali yenyewe hata kwenye ile mikopo inayotolewa kupitia halmashauri hawatoi mikopo kutatua shida zako sijui unadaiwa ada au mgonjwa sana unahitaji pesa ya kujitibu mikopo hutolewa kwa lengo la uzalishaji kwa wafanyabiashara au wajasiriamali kuongeza mitaji au uwekezaji wao na wengi wanachukua mikopo kwa kujifanya wafanyabiashara kumbe ana malengo yake mengine,hapo ndipo wanapokosea na hatimaye wanashindwa kurejesha mikopo waliyochukua na kuleta matatizo kama ya jamaa.
Akae akijua tu huo mkopo asipoulipa hiyo nyumba imekwenda Makonda hana uwezo wa kumsaidia chochote zaidi ya kupiga siasa tu.
 
Sio stori za kutunga. Binafsi nimeshakuwa sehemu ya vita mara mbili na madalali wa taasisi uchwara na nikaishinda.
Msaidie na yeye basi ashinde kama wewe kama unaona ni rahisi,jamaa alipe hela za watu akimfuata Makonda nyumba imeondoka Mwenzake anapiga siasa tu.
 
'A banker is a fellow who lends you his umbrella when the sun is shining, but wants it back the minute it begins to rain.' - Mark Twain.
 
Msaidie na yeye basi ashinde kama wewe kama unaona ni rahisi,jamaa alipe hela za watu akimfuata Makonda nyumba imeondoka Mwenzake anapiga siasa tu.
Hata bila makonda uwezekano wa kushinda ni mkubwa. Aweke zuio tu mahakamani. Huwezi uziwa nyumba ya M50 kwa M3 kama taasisi uliyokopa haina adhabu na riba zisizolipika. Haiingii akilini.

Unadharura, umekopa riba kubwa 20% halafu Washenzi unakuta wamekuwekea kipengele adhabu ya kuchelewesha rejesho penati ni 25% ya mkopo wote plus riba bila kuondoa rejesho ambalo ulishapeleka na ulishasaini na usharudisha hata nusu ya pesa umekwama hujarejesha miezi mi3 unapigwa 25%Γ—3 penalty ya mkopo wote. Ukija pata pesa ulipe unakuta deni lipo kama ndo unaanza kuchukua mkopo unashangaa shangaa miezi mi2 imepita limedouble nyumba inauzwa.
 

Jamaa yangu Luka ulipotea sana. Karibu tena!
Mimi na johnthebaptist tulikuwa na hofu sana tulivyokuwa hatukusikii.
😡 πŸ˜›
 
umepanic dogo.
Umejaa upepo
 
Hili lijamaa ni chizi. Sasa halitaki benki zilipwe madeni yao linataka nini? Mtu ukishindwa kulipa deni, hata kama ni la sh 100, nyumba uliyoweka dhamana ndiyo itakayouzwa kufidia deni. Hili limbumbumbu linafanya serikali ya Samia ichukiwe na wananchi.
 
Safi sana Bashite kwa kuiaibisha Serikali ya yetu mpendwa!
 
We fala andika unachokijua aliyekamatwa ni auctioner ila sio mtoa huduma alitakiwa kuwa na kibali kutoka ofisi ya mrajisi mkuu tafadhali
 
Kakamata wangapi hadi sasa na uchumi umedorora kwa asilimia ngapi?
 
wewe ni mpumbavu nikikuona nakuweka rokapu
 
Mikopo ina muda maalum wa kulipa, una mkataba wa mwaka mmoja umalize deni, sasa miaka mitatu imepita, unatakiwa rejesho la laki tano kila mwezi, wewe unapeleka elfu ishirini eti unadai bado unarejesha
Awali sikuwa najua kazi unayoifanya mjini; kumbe wewe ni tapeli!!
 
Wewe takataka una chuki binafsi na Makonda umechamba lakini ?
 
Kwa nini husemi Makonda for 2025 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜œπŸ˜œ

Hakuna Kind of Sukima.gang watarudi madarakani tena labda Samia aamue kukoma watu wa Bara msio na akili.

Mimi Niko mpakani,navuka baoda tuu kama.wakati wa yule hamnaxo mwingine
Unajipa matumaini unaongea mambo ambayo hauyaishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…