Makonda aanza kukamata wakusanya madeni (auctioneers) wanaotumwa na mabenki

Makonda aanza kukamata wakusanya madeni (auctioneers) wanaotumwa na mabenki

Waliouziwa nyumba kupitia mkopo kausha damu na Kampuni ya Heritage financing limited y iliko Arusha tukutane kwa makonda Kesho saa 4 asubuhi. Tuna jambo letu
Fanyeni chap Makonda baba wa upendo namwombea hii operation ije na mafanikio. Tumechoka na uhuni wa hizi taasisi
 
Bila Benki Kuu na Wizara ya Fedha kuongilia kati, naona mgomo mkubwa unanukia Arusha au Nchi Nzima kutoka kwa mawakala wa mabenki na taasisi za fedha wanaokusanya madeni mara baada ya Makonda kuanza kuwakamata baada ya kutimiza majukumu yao.

Hii itakuwa na athari kubwa kiuchumi kwa kuwa fedha za mabenki, ambazo kimsingi ni za wananchi, zinaweza zisilipwe, kwa kuwa wanaozikusanya wanakamatwa na Mkuu wa Mkoa, hivyo wakopaji watakuwa wanakula bata wakati mabenki yanafilisika.

Baada ya hapo fedha zetu zitakuwa salama katika mabenki?
Huyu ndio Kiongozi sasa. Mkopo wa milioni tatu na mkopaji analipa unaenda kuuza nyumba ya milioni hamsini? Tia ndani!!!
 
Kiongozi yote yakifanyikia ofisini unazani kutakua na umuhimu wa vyombo vya habari? Na lazima yapo mengi tu yanafanyikia uko ofisini na baadhi tu kama haya yanayokea kwenye mitandao. Tanzania kubwa hii na matatizo ya hivi yapo mengi tu. La muhimu ni mifumo tu iimaliswe ya kuweza kushughulikia matatizo kama hayo.
Jaribu kutumua akili kidogo. Hizi ni acquisition ambazo zinatakiwa kuwa treated with utmost care. Huwezi kuamuru watu wawekwe ndani kabla ya hata ya kusikiliza pande zote. Wajinga wajinga kama wewe ndiyo mnafanya nchi izidi kudidia kwenye matatizo.
 
Elimu mbovu imekuwa ni disaster kwa nchi yetu. Watu wengi hamwezi kutafakari mambo kwa upana na urefu. Pole sana kwa ufinyu wako wa kutafakari kwa sababu wanaoona Makonda ni shujaa mko wengi na siyo kosa lenu, bali mfumo wa elimu.
huo ujumbe ungeugeuza kisha ukaanza kujitafakari , kwamba Makonda awashike wakusanya madeni yao bila sababu za msingi , umeandika ujumbe mzuri ila unakuhusu wewe na mnaompinga Makonda , hata Msukuma haez mshika mkusanya madeni bila sababu ya ziada , WAJINGA MSIOPENDA KUMENG'ENYA MAMBO MPO WENGI SANA , MKISOMA HABARI INASEMA MAKONDA AKAMATA WAKUSANYA MADENI BASI MNAIMEZA KAMA ILIVYO NA HAMTAK KUMENG'ENYA ZAID KUUJUWA UKWEL , HASA WENGI WENU MNAENDESHWA NA CHUKI DHIDI YA MAKONDA

SIO WOTE TUNAMUUNGA MKONO MAKONDA KWENYE , NI MASHABIKI WA UONGOZ WA MAKONDA LKN JAMII INAYOJITAMBUA HUWA HAIFANYI MAAMUZI KWA CHUKI BALI KWA UHALISIA WA JAMBO
 
Jaribu kutumua akili kidogo. Hizi ni acquisition ambazo zinatakiwa kuwa treated with utmost care. Huwezi kuamuru watu wawekwe ndani kabla ya hata ya kusikiliza pande zote. Wajinga wajinga kama wewe ndiyo mnafanya nchi izidi kudidia kwenye matatizo.
Sawa dada mkubwa mwenye akili.
 
Tatizo ni wewe mkopeshaji ulikuwa na nia ya kukopesha au kujipatia nyumba? Hili linapimwa kwa

1. Kiwango cha riba
2. Uwezo wa mtu unayemkopesha, Anakopesheka?
3. Taratibu za kumfilisi. Una vibali vyote? Umevipata kwa njia halali?

Sasa kwa dhamana ya M50, na mkopo wa M3. Kuna tatizo. Lazima huyu mtu hana capacity ila ana dhamana, hakopesheki. Kwanini ulimkopesha? Baada ya kumkopesha akashindwa, vibali vya kufilisi umevipataje maana mahakamani kupewa hichi kibali zikifatwa taratibu zote si rahisi.

Ni kweli ndo maana mabank hawapendi kufilisi, wanapenda ulipe. Microfinance uchwara wanapenda ushindwe kulipa ili nyumba ya M50 iuzwe M10, upewe M7 watu wakaiuze M40 huko baadae.

Kuna miongozo mkuu, mambo kama haya unaweza kuta hata mke ajui kama nyumba ya M50 imekopewa na mume M3 na kuna mafomu kibao ya kujaza ili nyumba iwe mali halali ya taasisi ya fedha na waweze kuiuza.

Hakuna mtu analeta M50, hapo itauzwa 10 au 15. Unadhani wakusanya madeni wanapigia wapi pesa? Kwa akili ya kawaida nyumba ya M50 kwa mkopo wa M3 kuuzwa haiingii akilini unless liriba ni likubwa mno.
hiyo ndiyo mikopo ya kausha damu ipigwe marufuku
 
Hata kama ndio umuuzie nyumba kisa deni la millions 3........wakati nyumba yake ina thamani ya million 50...........usimuonee kwa kuwa kakopa... . Mbona wale watu waliokopa takribani bilioni 800 na wakaenda mpaka mahakamani na wakawashinda kesi mbona hamkuuza hata vijiko vyao vya chai ?? Huonevu huo
Iuzwe ikatwe 3M chenchi arudishiwe. Dawa ya deni ni kulipa tu
 
Iuzwe ikatwe 3M chenchi arudishiwe. Dawa ya deni ni kulipa tu
Mpaka inafikia kuuzwa hao hawataki 3m. Itakuwa riba ilikuwa kubwa deni halilipiki ila kwa ilipofikia hapo watachukua hiyo hiyo tatu yaishe. Tena pengine kwa awamu.
 
Umepost upupu gani yani mtu anadaiwa miliion 3 unamuuzia Nyumba? Hizi Demokrasia zinatumika vibaya watu kama hawa ni wakunyonga tu.
Umekopa lipa! Au tafuta hizo mi3 sehemu nyingine sio kufilisi bank. Ukipewa pesa rudisha ili apewe mwingine, kila mtu akipewa pesa Akakaa nazo bank zitafilisika
 
Bila Benki Kuu na Wizara ya Fedha kuongilia kati, naona mgomo mkubwa unanukia Arusha au Nchi Nzima kutoka kwa mawakala wa mabenki na taasisi za fedha wanaokusanya madeni mara baada ya Makonda kuanza kuwakamata baada ya kutimiza majukumu yao.

Hii itakuwa na athari kubwa kiuchumi kwa kuwa fedha za mabenki, ambazo kimsingi ni za wananchi, zinaweza zisilipwe, kwa kuwa wanaozikusanya wanakamatwa na Mkuu wa Mkoa, hivyo wakopaji watakuwa wanakula bata wakati mabenki yanafilisika.

Baada ya hapo fedha zetu zitakuwa salama katika mabenki?
#Mama yupo Kazini.
 
Hakuna lazima alipe yote huo ndio ya utaratibu
Mpaka inafikia kuuzwa hao hawataki 3m. Itakuwa riba ilikuwa kubwa deni halilipiki ila kwa ilipofikia hapo watachukua hiyo hiyo tatu yaishe. Tena pengine kwa awamu.
 
Umekopa lipa! Au tafuta hizo mi3 sehemu nyingine sio kufilisi bank. Ukipewa pesa rudisha ili apewe mwingine, kila mtu akipewa pesa Akakaa nazo bank zitafilisika
Kuna madeni yakuuza nyumba ila sio Million tatu ! sehemu kama Arusha CC kiwanja cha millioni tatu utakipata mtoni sembuse Nyumba ?
 
Umekopa lipa! Au tafuta hizo mi3 sehemu nyingine sio kufilisi bank. Ukipewa pesa rudisha ili apewe mwingine, kila mtu akipewa pesa Akakaa nazo bank zitafilisika
Bank haifanyagi huu ujinga. Taratibu za kuweka dhamana ya nyumba bank ili ukopeshwe ni ngumu kidogo na wapo makini na uwezo wa mkopaji hata kama ana dhamana, unless huo uongozi uwe wa kijinga. Bank hizi zinazojielewa ikishafikia kuwa inauza nyumba si rahisi kupona, itauzika, hata uende kwa waziri mkuu.
 
Back
Top Bottom