Habari zikufikie kwamba Paul Makonda amebadili gia angani sasa sio Kigamboni tena bali Arusha,
Makonda hawezi kugombea willaya aliyozaliwa maana kwenye kampeni itamletea shida,wapinzani wake wakifukua makaburi kumleta mwenye jina lake .
Kila anachikifanya Makonda pale Arusha ni maandaluzi ya kampeni za ubunge jimboni humo