Makonda aitwe kaka wa taifa

Makonda aitwe kaka wa taifa

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Posts
16,054
Reaction score
11,568
Nimemwona makonda akichangisha fedha kupata hela za kumnunulia mwanamke aliyeibiwa ngombe tisa, nimelia kwa upendo mkuu sambamba na mama aliyechangiwa fedha, safi sana. Makonda anatatua shida za msingi za wananchi, huyu ni kaka yetu wa taifa
 
Badala ya kuwashupalia polisi wawakamate wezi unachangisha fedha za kununua ng'ombe wengine ili wezi waje wawaibe tena, alichotakiwa ni kumuagiza RPC, OCD na wengineo wawasake wezi
 
kwamba wafungwe wezi alafu anatafaidika na nini? Huyo mama au mahakama zetu sikuhz zimebadil sheria mwiz alipe
 
Nimemwona makonda akichangisha fedha kupata hela za kumnunulia mwanamke aliyeibiwa ngombe tisa, nimelia kwa upendo mkuu sambamba na mama aliyechangiwa fedha, safi sana. Makonda anatatua shida za msingi za wananchi, huyu ni kaka yetu wa taifa
Hongera kwa kupata kaka wa taifa.
 
Nimemwona makonda akichangisha fedha kupata hela za kumnunulia mwanamke aliyeibiwa ngombe tisa, nimelia kwa upendo mkuu sambamba na mama aliyechangiwa fedha, safi sana. Makonda anatatua shida za msingi za wananchi, huyu ni kaka yetu wa taifa
Hayo machozi uliyolia yapo wapi??hizo ni dalili za UCHOKO kulialia kwa vitu cheap
 
Nimeangalia mara kadhaa Habari kupitia TBC1 TV na hata social media zao, mbona hizi mbwembwe za Makonda hazionyeshwi wala kupewa uzito wowote au Waziri wa habari kapiga mkwala?
 
20230927_161012.jpg
 
Nimemwona makonda akichangisha fedha kupata hela za kumnunulia mwanamke aliyeibiwa ngombe tisa, nimelia kwa upendo mkuu sambamba na mama aliyechangiwa fedha, safi sana. Makonda anatatua shida za msingi za wananchi, huyu ni kaka yetu wa taifa
Mungu mwema sana, advertise ya Makonda si mchezo,sipati picha akiwa prime
 
Badala ya kuwashupalia polisi wawakamate wezi unachangisha fedha za kununua ng'ombe wengine ili wezi waje wawaibe tena, alichotakiwa ni kumuagiza RPC, OCD na wengineo wawasake wezi
POLISI walishiriki wizi wa hizo ng'ombe,acha tumchangie mnyonge mwenzetu

Hao POLISI wako watalipwa na muumba wao
 
Uchawa ni ugonjwa.
Mkuu si uchawa hii ndio akili ya watanzania wengi na wala cake ya taifa wanalijua hili ndio maana mtu anatembea na v8 full a.c eti akikaribia kuingia mjini anapanda lory au bodaboda na watu eti wanaona alichofanya ni kitendo cha kishujaa na yuko na wanyonge.
Mtaji wa CCM ni fikra za watanzania wengi nakwambia ukweli kwa fikra hizi hata walete tume huru kabisa CCM haiwezi kutoka madarakani maana watanzania washakubali hali yao
 
Nimemwona makonda akichangisha fedha kupata hela za kumnunulia mwanamke aliyeibiwa ngombe tisa, nimelia kwa upendo mkuu sambamba na mama aliyechangiwa fedha, safi sana. Makonda anatatua shida za msingi za wananchi, huyu ni kaka yetu wa taifa

..kaka wa taifa awe na makalio makubwa kama kina dada? Hilo hatukubali hata tuwekee bastola kichwani.🤣
 
Kuna wajinga, wao ni watalaamu wa kuzodoa kila kitu

Hawtakuelewa mkuu
 
Back
Top Bottom