Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Aende Marekani kama ni mtu safi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchawa ni kansa ndani ya ccmNimemwona makonda akichangisha fedha kupata hela za kumnunulia mwanamke aliyeibiwa ngombe tisa, nimelia kwa upendo mkuu sambamba na mama aliyechangiwa fedha, safi sana. Makonda anatatua shida za msingi za wananchi, huyu ni kaka yetu wa taifa
Nimemwona makonda akichangisha fedha kupata hela za kumnunulia mwanamke aliyeibiwa ngombe tisa, nimelia kwa upendo mkuu sambamba na mama aliyechangiwa fedha, safi sana. Makonda anatatua shida za msingi za wananchi, huyu ni kaka yetu wa taifa
akishafungwa mmama atapata nini?Mwizi ni miaka 7 ndani
Umefurahia watu kuchangishwa fedha, wakati kulikuwapo na watu wa kuwajibishwa! Kwa wizi huo, kamati za ulinzi zilifanya jitihada gani pamoja na mkuu wa wilaya husika.Nimemwona makonda akichangisha fedha kupata hela za kumnunulia mwanamke aliyeibiwa ngombe tisa, nimelia kwa upendo mkuu sambamba na mama aliyechangiwa fedha, safi sana. Makonda anatatua shida za msingi za wananchi, huyu ni kaka yetu wa taifa
Sasa mwizi akisakwa ndo atarejesha ng'ombe??Badala ya kuwashupalia polisi wawakamate wezi unachangisha fedha za kununua ng'ombe wengine ili wezi waje wawaibe tena, alichotakiwa ni kumuagiza RPC, OCD na wengineo wawasake wezi
Kwahiyo kila atakayeibiwa mtamchangia?Sasa mwizi akisakwa ndo atarejesha ng'ombe??
NdioKwahiyo kila atakayeibiwa mtamchangia?
Kaka kama kakaNimemwona makonda akichangisha fedha kupata hela za kumnunulia mwanamke aliyeibiwa ngombe tisa, nimelia kwa upendo mkuu sambamba na mama aliyechangiwa fedha, safi sana. Makonda anatatua shida za msingi za wananchi, huyu ni kaka yetu wa taifa
Kama akiitwa Kaka wa Taifa halafu matatizo ya umeme,ukosefu wa ajira,miundombinu n.k yatatoweka aitwe tu hamna shida!Nimemwona makonda akichangisha fedha kupata hela za kumnunulia mwanamke aliyeibiwa ngombe tisa, nimelia kwa upendo mkuu sambamba na mama aliyechangiwa fedha, safi sana. Makonda anatatua shida za msingi za wananchi, huyu ni kaka yetu wa taifa
Unampambania kweli mumeo nyamitakoNimemwona makonda akichangisha fedha kupata hela za kumnunulia mwanamke aliyeibiwa ngombe tisa, nimelia kwa upendo mkuu sambamba na mama aliyechangiwa fedha, safi sana. Makonda anatatua shida za msingi za wananchi, huyu ni kaka yetu wa taifa
.Mkuu si uchawa hii ndio akili ya watanzania wengi na wala cake ya taifa wanalijua hili ndio maana mtu anatembea na v8 full a.c eti akikaribia kuingia mjini anapanda lory au bodaboda na watu eti wanaona alichofanya ni kitendo cha kishujaa na yuko na wanyonge.
Mtaji wa CCM ni fikra za watanzania wengi nakwambia ukweli kwa fikra hizi hata walete tume huru kabisa CCM haiwezi kutoka madarakani maana watanzania washakubali hali yao
Muite wewe ,punguani wewe.Nimemwona makonda akichangisha fedha kupata hela za kumnunulia mwanamke aliyeibiwa ngombe tisa, nimelia kwa upendo mkuu sambamba na mama aliyechangiwa fedha, safi sana. Makonda anatatua shida za msingi za wananchi, huyu ni kaka yetu wa taifa
Ukiona mtu wa aina hii ujue anatumika tuu kama mipira ya kiume, yaani kutumika na kutupwa.
Mpuuzi mmoja weweNimemwona makonda akichangisha fedha kupata hela za kumnunulia mwanamke aliyeibiwa ngombe tisa, nimelia kwa upendo mkuu sambamba na mama aliyechangiwa fedha, safi sana. Makonda anatatua shida za msingi za wananchi, huyu ni kaka yetu wa taifa
Umeona wivu mwenzko kupata ngombe tisa chap. Haya nikuulize wewe msom.fund rising huwa ina maanisha nini?Badala ya kuwashupalia polisi wawakamate wezi unachangisha fedha za kununua ng'ombe wengine ili wezi waje wawaibe tena, alichotakiwa ni kumuagiza RPC, OCD na wengineo wawasake wezi