Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Naunga mkono hojaNimemwona makonda akichangisha fedha kupata hela za kumnunulia mwanamke aliyeibiwa ngombe tisa, nimelia kwa upendo mkuu sambamba na mama aliyechangiwa fedha, safi sana. Makonda anatatua shida za msingi za wananchi, huyu ni kaka yetu wa taifa
P