Makonda aitwe kaka wa taifa

Nimemwona makonda akichangisha fedha kupata hela za kumnunulia mwanamke aliyeibiwa ngombe tisa, nimelia kwa upendo mkuu sambamba na mama aliyechangiwa fedha, safi sana. Makonda anatatua shida za msingi za wananchi, huyu ni kaka yetu wa taifa

Ukimwita wewe inatosha
 
Umefurahia watu kuchangishwa fedha, wakati kulikuwapo na watu wa kuwajibishwa! Kwa wizi huo, kamati za ulinzi zilifanya jitihada gani pamoja na mkuu wa wilaya husika.
 
Badala ya kuwashupalia polisi wawakamate wezi unachangisha fedha za kununua ng'ombe wengine ili wezi waje wawaibe tena, alichotakiwa ni kumuagiza RPC, OCD na wengineo wawasake wezi
Sasa mwizi akisakwa ndo atarejesha ng'ombe??
 
Naunga mkono hoja

Paul Christian Makonda Manyama kuwa kaka wa Taifa
 
Bibi wa Taifa
Babu wa Taifa
Shemeji wa Taifa
Mchepuko wa Taifa
Chawa wa Taifa
Mnafiki wa Taifa
Zwazwa wa Taifa
Nyumbu wa Taifa
Haya ni mapendekezo ya majina yaliyowazi

The Saga Continues
 
Shida sii kaka wa taifa ni alivyoo na tabia zake zaogopesha hana huruma hajui waliopo tz ni wanadamu now ni mwema kisa hana ule uongozi kama wa waziri mkuu au mamlaka ya kuomgoza nchi kwa cheo chochote hapa ni CCM tu . Ngoja sasa akamilke uone .

Makonda hachukiwi ni tunamwogopa sijui unaelewa ??
 
Watanzania wao hukubaliana na mtu kisa anacheka ngoja akuonyeshe makucha you will cry . Msimsifie nyani akiwa mtini msifie akiwa ameshuka nakuharibu nakudhibiti nakuchukua mazao yote mbakie tupu john magufuli anajua kwa nini alimvua hicho cheo. Mie namuogopa kweli sio namchukia ni mzuri anajua kujiweka pia ila for me no
 
Nimemwona makonda akichangisha fedha kupata hela za kumnunulia mwanamke aliyeibiwa ngombe tisa, nimelia kwa upendo mkuu sambamba na mama aliyechangiwa fedha, safi sana. Makonda anatatua shida za msingi za wananchi, huyu ni kaka yetu wa taifa
Kama akiitwa Kaka wa Taifa halafu matatizo ya umeme,ukosefu wa ajira,miundombinu n.k yatatoweka aitwe tu hamna shida!
 
Nimemwona makonda akichangisha fedha kupata hela za kumnunulia mwanamke aliyeibiwa ngombe tisa, nimelia kwa upendo mkuu sambamba na mama aliyechangiwa fedha, safi sana. Makonda anatatua shida za msingi za wananchi, huyu ni kaka yetu wa taifa
Unampambania kweli mumeo nyamitako
 
.
 
Nimemwona makonda akichangisha fedha kupata hela za kumnunulia mwanamke aliyeibiwa ngombe tisa, nimelia kwa upendo mkuu sambamba na mama aliyechangiwa fedha, safi sana. Makonda anatatua shida za msingi za wananchi, huyu ni kaka yetu wa taifa
Muite wewe ,punguani wewe.
 
Ukiona mtu wa aina hii ujue anatumika tuu kama mipira ya kiume, yaani kutumika na kutupwa.
Mtu aliyefanya kitendo kama hicho kwa Prominent figure kama Warioba ukimteua nafasi yeyote ya heshima ni dharau hata kwako mteuaji.
Katika hili JK ni wa hovyo, Magu na Samia pia walikosea.
 
Nimemwona makonda akichangisha fedha kupata hela za kumnunulia mwanamke aliyeibiwa ngombe tisa, nimelia kwa upendo mkuu sambamba na mama aliyechangiwa fedha, safi sana. Makonda anatatua shida za msingi za wananchi, huyu ni kaka yetu wa taifa
Mpuuzi mmoja wewe
 
Badala ya kuwashupalia polisi wawakamate wezi unachangisha fedha za kununua ng'ombe wengine ili wezi waje wawaibe tena, alichotakiwa ni kumuagiza RPC, OCD na wengineo wawasake wezi
Umeona wivu mwenzko kupata ngombe tisa chap. Haya nikuulize wewe msom.fund rising huwa ina maanisha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…