Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Naunga mkono hojaNimemwona makonda akichangisha fedha kupata hela za kumnunulia mwanamke aliyeibiwa ngombe tisa, nimelia kwa upendo mkuu sambamba na mama aliyechangiwa fedha, safi sana. Makonda anatatua shida za msingi za wananchi, huyu ni kaka yetu wa taifa
Kwani wewe umeshinda kumwita kaka wa ukoo wenu ?Nimemwona makonda akichangisha fedha kupata hela za kumnunulia mwanamke aliyeibiwa ngombe tisa, nimelia kwa upendo mkuu sambamba na mama aliyechangiwa fedha, safi sana. Makonda anatatua shida za msingi za wananchi, huyu ni kaka yetu wa taifa
Hizo ni cheap politic, na bado anashangiliwaKwahiyo kila atakayeibiwa mtamchangia?
😅Hizo ni cheap politic, na bado anashangiliwa
Kampe dada yako!Nimemwona makonda akichangisha fedha kupata hela za kumnunulia mwanamke aliyeibiwa ngombe tisa, nimelia kwa upendo mkuu sambamba na mama aliyechangiwa fedha, safi sana. Makonda anatatua shida za msingi za wananchi, huyu ni kaka yetu wa taifa