NnyaMbwate
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 1,678
- 1,204
Alipofanya ziara ya kukagua miradi inayosimamiwa na Serikali ya CCM Mkoani DSM, alisikika akitamka kuwa Hana Nyumba Kigamboni, bali dereva wake ndiye alikuwa akijenga kule. Mara Paap, Mstaafu kawa mkazi wa Kigamboni.Ajiandae kugombea serikali za mitaa,kumbe kajenga Kigamboni.
Waongo wengi hawana kumbukumbu!